Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
HahaahahaW
Ahahaaah
Wamewarudia wanaume wenye hela
HahaahahaW
Ahahaaah
Wamewarudia wanaume wenye hela
Njaa inakusumbua!!Mamboo
Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa
Mwanaume ambaye anajua kucare
Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga
Kuna muda nawaza nashindwa kupata jibu juu ya uwepo wa hawa viumbe, hawafanani kabisa na binaadamu ila wanapambana kufanana na binadamu, infact ni copy tu ya binaadam ila kiualisia sio kabisa!Umegonga mule mule
Unawaongelea wale mafala ambao huwa mnawaokota huko mnako waokotaga halafu mnaanza kuwafundisha jinsi ya kuwapendeni?Mamboo
Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa
Mwanaume ambaye anajua kucare
Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga
Fanya kazi kwabidii ujitegemee acha upumbavuSema mume wa mtu ukimpata naye unasahau shida kidogo 😂😂😂 kuliko ivi single boy
Anaweza kusema kapenda ndevu zako, ukawa nae na akenda liwa na asie na ndevu kabisa ( and vice_ versa )Hela hampendi saiz vipi kuhusu handsome na six pack je,wafuga ndevu nao.
Wanawake mbona hamna msimamo.
Wanaume wa hivyo utawapata kwa mwakiembe na NGO's zake, wale wanaweza kufanya hayo yoteMamboo
Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa
Mwanaume ambaye anajua kucare
Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga
Huyo kalelewa kwenye zile familia zinazo waambia ma binti zao Maisha mazuri watayapata kutoka kwa Wanaume tu na si kwingineko!!Fanya kazi kwabidii ujitegemee acha upumbavu
💯🤝Kwa kawaida mwanaume LAZIMA ana care pale anapo PENDA tu , narudia tena ni LAZIMA . Kunakuwa na kama msukumo wa ndani.
Hao ni malaya kama malaya wengine tuMwingine utamsikia yaan hautaki kunihudumia wakati wewe ukija na shida zako mm sikusumbui hakuna kauli mbaya inanitoa kwenye reli kama hili. Watu wamegeuza K zao vyanzo vya kipato
💯🤝Huyo unaemuongelea hapo hayupo[emoji16][emoji16] hata baba yako hakua mtu huyo unae muongelea maana vingine ilibidi umuombe, tena kwa kumkumbusha mara kwa mara, na vingine hakutimiza kabisa![emoji848] Endelea kuota[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2582949
Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
Wanawake wanapenda mwanaume anaejua kutmbn tu hayo mengne ziada tu we kuwa nayo yote hayo halafu shughuli huiwezi uone wasimamia ukucha wanavyokusaidia sanasan utapata heshma ya kinafki sababu unamhudumiaNgonjera tu hizi...hamna jema nyie
Wanaume Wana care Kwa mwanamke mwenye...Mamboo
Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa
Mwanaume ambaye anajua kucare.
Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga
"Mwanaume ambaye anajua kucare"Mamboo
Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa
Mwanaume ambaye anajua kucare.
Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga
😁 Wewe figo wewee, kwanza umepona?Sema mume wa mtu ukimpata naye unasahau shida kidogo 😂😂😂 kuliko ivi single boy
😂😂 KY gelNdio maana wanawanunulisha gel mbali mbali 🤔
Watasema hii ni body shaming mkuu, yan mtu kupenda chura wanasema unanyanyapaa wengine eti.Wanaume Wana care Kwa mwanamke mwenye...
Tabia njema
Penzi tamu
Umbo lijalo mvutia
Rangi inayo mvutia nk...
Sasa kama wewe Kila kitu kipo bagadu sahau kupata hivo ulivo vitaja...lasivo lazimika uoneshe tabia njema na utii bila kikomo.
Kuna wanawake wa kujaliwa na wanawake wa kukiwa tu. Kila ajaye kwako ni kukutia tu na kuendelea na yake..Hadi pale utakapo onesha upendo kama uoneshao Kwa mwanao ndipo nao watakucare.