Sasa mkitaka wanawake wafanye majukumu yenu vipi na majukumu yao atafanya nani, hapa siongelei yale ya kimaumbile naongelea yale ya nyumbani, ambayo mnaweza kuyafanya ila hamtaki tuWanaume wanacholalamika ni wanawake wengi siku hizi wanajiuza kwa kigezo cha kuhudumiwa, kumbe ni prostitution in disguise, married and unmarried, ukihitaji ngono ni hela yako tu. Katika tamaduni zetu bibi na mama zetu walienda shambani kulima na waume zao na wanachozalisha kinatumika na familia nzima , hili la wa kisasa kutaka kuhudumiwa kama walemavu ni nothing but prostitution in disguise, mume na mke wote wanatakiwa kuzalisha chakula, mavazi na shelter for the family.
Na sisi wa afu tatu, tusemeje😂Ni mara chache sana mwanaume inatokea kaoa mwanamke sababu ya pesa zake, kwa upande wangu sijawahi kuwa na mwanaume anayenipendea hivo hata ex wangu valentine nilitaka kumpa zawadi aligoma katakata, badala yake akanipa mimi..!!
( Nilihisi kweli huyu ni mwanaume kamili)
Turudi kwetu wanawake, sisi tunaweza kukupenda wewe pamoja na pesa zako… pesa na mwanamke ni mapacha huwezi kuvitenganisha, sababu mwanamke anhisi amani akiwa na mume lkn na huyo mume akiwa anampa pesa ndio anazidi kuhisi yupo sehemu salama.!!
😂😂😂😂 ndio.Dagaa au unazungumzia nini maana umetajwa unga?
Tatizo watu hawataki kuelewa au sijui ni ubishi tyuu.!! Iko hivi kama vile mwanaume ni ngumu kumtenganisha na kipochi manyoya vivo hivyo na wanawake huwezi kuwatenganisha na pesa..!! Hapo sasa kila mmoja ni “kula kutokana na urefu wa kamba yake.”Nakazia ujumbe wako Lamomy
Some ndo wako possessed na kale ka spot hole, some ain't giving a shit kupita kiasi.Tatizo watu hawataki kuelewa au sijui ni ubishi tyuu.!! Iko hivi kama vile mwanaume ni ngumu kumtenganisha na kipochi manyoya vivo hivyo na wanawake huwezi kuwatenganisha na pesa..!! Hapo sasa kila mmoja ni “kula kutokana na urefu wa kamba yake.”
🤣🤣🤣 wa afu tatu mshinde mechi zenu na wanaokubali hizo afu tatu.!!Na sisi wa afu tatu, tusemeje😂
Shangazi taratibu, mpwa wako napita Huku 😄😊Hela shingapi? Si nasikia zipo hadi za buku? Hadi jero?
Dah ngoja nifanye mpango, nitume hata Afu 1, ibaki Afu 2 🤣🤣🤣🤣🤣 wa afu tatu mshinde mechi zenu na wanaokubali hizo afu tatu.!!
🤣🤣🤣 Ulitaka unyenyekewe cha kwako??Some ndo wako possessed na kale ka spot hole, some ain't giving a shit kupita kiasi.
ungejua Mimi Mwenyekiti wa wanaume bahili tanzania, unge Elewa 🤣😁🤣🤣🤣 Ulitaka unyenyekewe cha kwako??
Unajua kuijua tabia yako ni jambo moja na kuiacha ni jambo jingine yani wanaume wengi siyo kwamba hawazijui tabia zao mbaya ila kuziacha ndio hawataki, kwa mfano wanaume wasaliti au wanyanyasaji unadhani hawajui kwamba tabia zao ni mbaya wanajua ila hawako tayari kuziacha, kwa sababu wameshaaminishwa kwamba mwanamke ni kiumbe mvumilivu hata umkosee vipi atavumilia tu kwahiyo nao wanaendelea na hizo tabia wakijua kwamba wake zao wataendelea kuwavumilia tuNawezaje kuwa na tabia mbaya bila kujua hii ni tabia mbaya na natakiwa kuacha sababu tuu sasa hivi nipo na Mwanamke nina ishi naye na siyo tena bachelor. Unajua ukisha jielewa huna haja ya kuambiwa hicho kibaya acha na hicho kizuri sawa. Ni kujielewa na kuamua tuu
Ndiomana uliforce utumiwe afu tatu 🤣🤣🤣ungejua Mimi Mwenyekiti wa wanaume bahili tanzania, unge Elewa 🤣😁
Kawaida mtu anapoambiwa ukweli anahisi ameonewa,ila unachokisema Ni sahihi Kbsa.Tatizo watu hawataki kuelewa au sijui ni ubishi tyuu.!! Iko hivi kama vile mwanaume ni ngumu kumtenganisha na kipochi manyoya vivo hivyo na wanawake huwezi kuwatenganisha na pesa..!! Hapo sasa kila mmoja ni “kula kutokana na urefu wa kamba yake.”
wAlitaka watrend, Eti nae aonekane, never did that shit.Ndiomana uliforce utumiwe afu tatu 🤣🤣🤣
Sema nini kabla sijasahau tuma ile picha bhana 😜
Namtumbo ama pande za Nyanda za juu kusini?Hapa Hapa duniani
Mzee we uki jua Ina kusaidia kipi??, elewa tu hustle zili jipa.Namtumbo ama pande za Nyanda za juu kusini?
Ni wapumbavu ndiomana baadhi wanakimbia majukumu wanaenda kuolewa na mijimama au wanaume wenzao..!! Midume mizima na vipira vyao wanakimbia majukumu.!!Kawaida mtu anapoambiwa ukweli anahisi ameonewa,ila unachokisema Ni sahihi Kbsa.
Wanaume wengi wa siku hizi Ni walaini Sana hawataki kutekeleza majukumu yao,kazi kuzalisha tu na kusepa( deadbeat fathers)
Uwe una taja majina, # komwe la taifaNi wapumbavu ndiomana baadhi wanakimbia majukumu wanaenda kuolewa na mijimama au wanaume wenzao..!! Midume mizima na vipira vyao wanakimbia majukumu.!!