ππππππPole sana aisee.Wakaa nyumbani huwa hawajiamini, uwezo wao wa kufikiri huwa mdogo sana, hutegemea kila kitu kutoka kwa wazazi wao, huwa hawaambatani na wake zao.
Ndoa zao huwa ni maigizo tu wala sio halisi.
kwakweli bora ivyo tu hata tukiachan freshi kila mtu ana mpunga wake tutagawan tulivyochuma kuliko kuja kugawana na yule ambae sijachuma nae NEVER. Ikishindkana tukauwa tu kama akina ronaldo tunazalisha tunalea watoto wetu basi , n mwendo wa bata , nikiiiskia hamu natafta she napungza then tunatemana π.Haha vipi mtakuwa tayari kukubaliana na sifa walizonazo lakini, kumbukeni hao wa kishua siyo wife material kwa vigezo vyenu ninyi wanaume wa kiafrika, hao mkioa mnaweka pembeni falsafa zenu za mfumo dume vinginevyo ndoa inakufa alfajiri tu
Ni mara chache sana mwanaume inatokea kaoa mwanamke sababu ya pesa zake, kwa upande wangu sijawahi kuwa na mwanaume anayenipendea hivo hata ex wangu valentine nilitaka kumpa zawadi aligoma katakata, badala yake akanipa mimi..!!Tunavolalamika kuwa wanawake mnapenda sana pesa, sio kwamba sisi wanaume hatutaki kuwapa wanawake wetu pesa, au tunataka kukimbia majukumu. Tunapenda sana kuwapa hela.
Ishu ni kwamba kibinadamu, mwanaume ukijua mwanamke uliye naye yuko na wewe kwenye mahusiano kwasababu una pesa, na sio kwasababu kakupenda/ kavutiwa na wewe, kiukweli roho inauma, mtu unahisi kama unatumika.
Na wanawake wengi sahivi hawampendi mwanaume, ila wanapenda hela za mwanaume, sasa hapo kutakuwa kuna mahusiano kweli, hapo wanaume tutaacha kulalamika kweli.
Mfano rahisi jiulize siku ukigundua kuwa mumeo aliekuoa hakuwahi kukupenda wala kuvutiwa na wewe, ila alikuoa sababu una pesa, imagine utajihisi vipi Lamomy Jadda
Imepenya hiyo!! Maumivu yakizidi muone daktaree πππTunamwachia madude yake mwenyewe πππ
Mnijengee sanamu sasa π€£π€£π€£π€£Sasa wewe ndio umeongea point mamyyππππ.
In short kutimiza majukumu ndio jambo la msingi.
Uishi kivyako ama kwa wazee ila mambo matatu ni muhimu;
1)Majukumu binafsi ya mwanamke kutimizwa ipasavyo.
2)Uhuru wa mwanamke kuwepo itakikanavyo.
3)Amani iwepo pale muishipo(hususan kwa sisi wakaa nyumbani).
Hata wewe mamy kwa mfano katokea shemela kwao wamezaliwa watatu wa kwanza yeye na mtoto wa kiume pekee ana kazi,anaishi na wazazi nyumba ambayo ina nafasi kiasi ukimka unaweza usikutane na mama/baba mkwe,wakwe wamekupenda.
Je wewe hutoridhia kuolewa naye!?
Wapi, na lini?Mzee wangu Ali oa bila kuwa na mtonyo wa maana, still aka make wonders.
Kama dini yako na akili zako hazipingani juu ya hayo kaa tu kwa wazazi.Kukaa kwa wazazi kunategemea kwanini unakaa nao.
Pia inategemea mna maridhiano gani na wazazi wako.
Hapa Hapa dunianiWapi, na lini?
Alaa si huwa mnasema mwanaume hasifiwi kwa muonekano, mimi najua wanaume ndio mnawapendea wanawake muonekano, kwa sababu laiti wanawake wangekuwa wanaangalia mionekano basi wanaume wengi wangekosa kabisa wanawakeWanawake inatakiwa watupendee muonekano, ndo mahusiano yatanoga Jadda
Hivi mnavyojisikia pale wanawake wanapowapendea pesa ndivyo nao wanavyojisikia pale mnapowapendea uzuri wa sura na maumbo, tena bora hata ninyi pesa zinatafutwa ila uzuri ni namna mtu alivyozaliwa hawezi kubadilika ukizingatia pia uzuri nao huwa unaisha, hivyo hii ina maana siku uzuri wa wanawake unapoisha kwa sababu mbalimbali kama kuzaa au kunyonyesha mnaamua kuwasaliti au kuwaacha kabisa hivyo hata wao hujihisi kama vile hawakupendwa walitumika tuTunavolalamika kuwa wanawake mnapenda sana pesa, sio kwamba sisi wanaume hatutaki kuwapa wanawake wetu pesa, au tunataka kukimbia majukumu. Tunapenda sana kuwapa hela.
Ishu ni kwamba kibinadamu, mwanaume ukijua mwanamke uliye naye yuko na wewe kwenye mahusiano kwasababu una pesa, na sio kwasababu kakupenda/ kavutiwa na wewe, kiukweli roho inauma, mtu unahisi kama unatumika.
Na wanawake wengi sahivi hawampendi mwanaume, ila wanapenda hela za mwanaume, sasa hapo kutakuwa kuna mahusiano kweli, hapo wanaume tutaacha kulalamika kweli.
Mfano rahisi jiulize siku ukigundua kuwa mumeo aliekuoa hakuwahi kukupenda wala kuvutiwa na wewe, ila alikuoa sababu una pesa, imagine utajihisi vipi Lamomy Jadda
Na hivyo vitu ni kawaida sana mwanamke kuwa navyo, na asipokuwa na hivyo vitu bila shaka utamuacha si ndio, vipi na wewe unataka mwanamke akupendee niniBinafsi nampenda Mwanamke kama Mwanamke, anizalie tulee familia. Ninacho pendea kwake ni utu,heshima na upendo. Hakuna kingine kama ni tendo la ndoa hiyo ni kawaida siyo lazima kila saa kila siku
Anipende kama nilivyo. Siyo awe na mimi aanze kunifananisha na wanaume wengine. Wote tu concentrate kwenye kulea familia na kuangalia mbele na siyo kuangalia watu.Na hivyo vitu ni kawaida sana mwanamke kuwa navyo, na asipokuwa na hivyo vitu bila shaka utamuacha si ndio, vipi na wewe unataka mwanamke akupendee nini
Haha yani umewaza kuachana kabla hata ya kuwaza hayo maisha yenyewe ya ndoa yatakavyokuwa, imagine unaishi na mwanamke ambaye hawezi kukutii, kukuliwaza, kukufariji, kulea watoto wake, wala kufanya kazi za ndani kwa sababu wote mnatafuta pesa, hivyo naye hana muda kama wewe kwahiyo mtaweka msaidizikwakweli bora ivyo tu hata tukiachan freshi kila mtu ana mpunga wake tutagawan tulivyochuma kuliko kuja kugawana na yule ambae sijachuma nae NEVER. Ikishindkana tukauwa tu kama akina ronaldo tunazalisha tunalea watoto wetu basi , n mwendo wa bata , nikiiiskia hamu natafta she napungza then tunatemana π.
Je wewe unaweza kumpenda mwanamke kama alivyo bila kumlinganisha na wengine, kwanini wewe unaangalia sifa fulani kwake ila yeye hutaki aangalie sifa zozote kwako, vipi kama una tabia zako mbaya ambazo zinamkwaza napo bado utataka akupendeAnipende kama nilivyo. Siyo awe na mimi aanze kunifananisha na wanaume wengine. Wote tu concentrate kwenye kulea familia na kuangalia mbele na siyo kuangalia watu.
Nawezaje kuwa na tabia mbaya bila kujua hii ni tabia mbaya na natakiwa kuacha sababu tuu sasa hivi nipo na Mwanamke nina ishi naye na siyo tena bachelor. Unajua ukisha jielewa huna haja ya kuambiwa hicho kibaya acha na hicho kizuri sawa. Ni kujielewa na kuamua tuuJe wewe unaweza kumpenda mwanamke kama alivyo bila kumlinganisha na wengine, kwanini wewe unaangalia sifa fulani kwake ila yeye hutaki aangalie sifa zozote kwako, vipi kama una tabia zako mbaya ambazo zinamkwaza napo bado utataka akupende
Nakazia ujumbe wako LamomyNi mara chache sana mwanaume inatokea kaoa mwanamke sababu ya pesa zake, kwa upande wangu sijawahi kuwa na mwanaume anayenipendea hivo hata ex wangu valentine nilitaka kumpa zawadi aligoma katakata, badala yake akanipa mimi..!!
( Nilihisi kweli huyu ni mwanaume kamili)
Turudi kwetu wanawake, sisi tunaweza kukupenda wewe pamoja na pesa zako⦠pesa na mwanamke ni mapacha huwezi kuvitenganisha, sababu mwanamke anhisi amani akiwa na mume lkn na huyo mume akiwa anampa pesa ndio anazidi kuhisi yupo sehemu salama.!!