Mwanaume akupe lunch; dinner; nauli, bure bure tu?

Mwanaume akupe lunch; dinner; nauli, bure bure tu?

Nimekuwa nikikutana na wadada wengi wanapenda kuniweka friend zone ila nimekuwa nawatolea nje au kuwatongoza na kama akinikatalia nampotezea kabisa maana sijawahi kuwa na rafiki mwanamke ambaye ni potential kivile yaani anaweza akasema nina hiki na wewe weka hiki mezani tusongeshe maisha; au nikawa friend na mwanamke then akawa yeye ndo ana add value kwangu sijaliaona hili,
ila inakuaje mdada unakuwa naye akiwa na shida za hapa na pale anakutafuta ila ukiomba mechi anaanza kutolea nje mara hunieshimu/mimi ni rafiki tu/nina mtu wangu...wakati anajua fika hakuna anachoweza nisaidia zaidi ya kunipa mzigo; na mbaya zaidi sijawahi kufikiria kumuomba msaada mwanamke na sijui ni lini itatokea zaidi ya kuomba naniliiii..

nimesema hii kwa sababu kuna dada wanapenda kueleza shida zao kwetu wanaume ila tukigeukia kutaka mahitaji yetu mnaanza kutuzungusha... sisi wanaume pia tuna ndugu/wazazi na marafiki wa kuwasaidia ; yaani unakuta mtu hata hashangai ninulie luch basi unatoa; weekend nitoe out unamtoa; bure bure bure tuuuuuu.. ni bora kama umpendi mwanaume usitake mali zake wala mda wake maana unampotezea mda wake.
Kweli kabisa mwanamke urafiki alafu eti munufaike nje ya kugegedana ni nadra sana.

Na pili urafiki wa mwanaume na mwanamke usiendekeze wee endelea hivyo hivyo unaomba mzigo hakupi unachana nae basi.
 
Hizo lunch, dinner, clubbing, mbona vitu vya kawaida tu, kibaya kama akikwambia umnunulie nyumba au gari.

The best Medicine of Corona is to Stay Home.
Sio rahisi hivyo, Mkuu tunatoa twa tuwapendao
 
Vizuri gharama.
Gharama si ndiyo hizo mtoa mada anasema anazitoa? Sasa anagharamia lakini mtoa mada anachosema anayegharamiwa anazingua! Hapo unaposema vizuri gharama una maana gani kujibu hoja za mtoa mada?
 
Back
Top Bottom