Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,450
- 25,162
Akuuu mie sitaki tabu bado najijenga kiuchumi ili nisiwe ombaomba na mtu akinivuruga basi kila mtu ashike mbao zake sababu hakuna anayemtegemea mwenzieAaanha basi nikupate kama wewe
Akuuu mie sitaki tabu bado najijenga kiuchumi ili nisiwe ombaomba na mtu akinivuruga basi kila mtu ashike mbao zake sababu hakuna anayemtegemea mwenzieAaanha basi nikupate kama wewe
Kumsaidia wala hakuna shida yoyote kwangu, shida ipo kwake yeye ikiwa atafeel msaada wangu umeegemea upande gani. Mapenzi kwangu mimi, nowadays nayachukulia kawaida sana hata jana na leo nimekutana na wanawake wengi, kesho na kesho kutwa wamenipiga mizinga, nimewatoa na wala hata sikujali. Wao wenyewe wameamua kunituku miili yao kwa nyakati tofauti kwa kuniona kuwa ni mtu simple ambaye sina makuu kwenye haya mambo natembea taratibu kama kobe.yaani umsaidie tu mwanamke; na unaona anaeleweka?? labda uwe shoga ndo hutamtaka; hata yeye ataenda kusema kwa wenzake jamaa domo zege
AiseeeeeKumsaidia wala hakuna shida yoyote kwangu, shida ipo kwake yeye ikiwa atafeel msaada wangu umeegemea upande gani. Mapenzi kwangu mimi, nowadays nayachukulia kawaida sana hata jana na leo nimekutana na wanawake wengi, kesho na kesho kutwa wamenipiga mizinga, nimewatoa na wala hata sikujali. Wao wenyewe wameamua kunituku miili yao kwa nyakati tofauti kwa kuniona kuwa ni mtu simple ambaye sina makuu kwenye haya mambo natembea taratibu kama kobe.
ila ukitoa kitu kwa mwanamke ni kama umetangaza nia; kwa hiyo either useme/usiseme yeye aunganishe dot tuKumsaidia wala hakuna shida yoyote kwangu, shida ipo kwake yeye ikiwa atafeel msaada wangu umeegemea upande gani. Mapenzi kwangu mimi, nowadays nayachukulia kawaida sana hata jana na leo nimekutana na wanawake wengi, kesho na kesho kutwa wamenipiga mizinga, nimewatoa na wala hata sikujali. Wao wenyewe wameamua kunituku miili yao kwa nyakati tofauti kwa kuniona kuwa ni mtu simple ambaye sina makuu kwenye haya mambo natembea taratibu kama kobe.
Sasa Mimi ntakuzuiaje wewe kujijenga kwako kiuchumi.Akuuu mie sitaki tabu bado najijenga kiuchumi ili nisiwe ombaomba na mtu akinivuruga basi kila mtu ashike mbao zake sababu hakuna anayemtegemea mwenzie
Hahahahahahaha kuna muda itakubidi uhusike kwa namna moja au nyingine sasa sitaki msaada ili mtu aseme nilikusaidia mwenyewe ....yaani hapo nakufa na tai shingoni mpaka kieleweke[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Sasa Mimi ntakuzuiaje wewe kujijenga kwako kiuchumi.
Inawezekana nia nikawa nimeitangaza ikiwa yeye atafeel imeegemea upande gani zaidi. Jambo la msingi ni kuwa wema huwa unadumu sana kuliko ubaya, yeye mwenyewe atajiongeza!ila ukitoa kitu kwa mwanamke ni kama umetangaza nia; kwa hiyo either useme/usiseme yeye aunganishe dot tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]hahahahaha shuka tu; raha zote zipo hapa kwingine ni kuisoma namba
Unavyomnunulia hivyo vitu hakikisha mko room...
Oh!! Mtaumia sana
Duh inahitaji Moyo sanaInawezekana nia nikawa nimeitangaza ikiwa yeye atafeel imeegemea upande gani zaidi. Jambo la msingi ni kuwa wema huwa unadumu sana kuliko ubaya, yeye mwenyewe atajiongeza!
HahaahMi sitosema hayo.. Nitakwenda zangu tu kwa amani ya Bwana
Mmebaki wachache sana yaani one in milioni WA kukataa offer za hapa na paleHahahahahahaha kuna muda itakubidi uhusike kwa namna moja au nyingine sasa sitaki msaada ili mtu aseme nilikusaidia mwenyewe ....yaani hapo nakufa na tai shingoni mpaka kieleweke[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kwa kinadada: kama hutaki vyako viliwe, usiwe na kiherehere cha kutaka kula vya wenzioNimekuwa nikikutana na wadada wengi wanapenda kuniweka friend zone ila nimekuwa nawatolea nje au kuwatongoza na kama akinikatalia nampotezea kabisa maana sijawahi kuwa na rafiki mwanamke ambaye ni potential kivile yaani anaweza akasema nina hiki na wewe weka hiki mezani tusongeshe maisha; au nikawa friend na mwanamke then akawa yeye ndo ana add value kwangu sijaliaona hili,
ila inakuaje mdada unakuwa naye akiwa na shida za hapa na pale anakutafuta ila ukiomba mechi anaanza kutolea nje mara hunieshimu/mimi ni rafiki tu/nina mtu wangu...wakati anajua fika hakuna anachoweza nisaidia zaidi ya kunipa mzigo; na mbaya zaidi sijawahi kufikiria kumuomba msaada mwanamke na sijui ni lini itatokea zaidi ya kuomba naniliiii..
nimesema hii kwa sababu kuna dada wanapenda kueleza shida zao kwetu wanaume ila tukigeukia kutaka mahitaji yetu mnaanza kutuzungusha... sisi wanaume pia tuna ndugu/wazazi na marafiki wa kuwasaidia ; yaani unakuta mtu hata hashangai ninulie luch basi unatoa; weekend nitoe out unamtoa; bure bure bure tuuuuuu.. ni bora kama umpendi mwanaume usitake mali zake wala mda wake maana unampotezea mda wake.
TrueKwa kinadada: kama hutaki vyako viliwe, usiwe na kiherehere cha kutaka kula vya wenzio
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhhh wewe yaaani unakomaaa mda wote mwanamke ankufanya plan D(option)Huwa tunapima upendo na kujali,msifanye haraka hivyo,wew hudumia mwisho wa Siku atakupa pampuchi yake kwa sababu ameona wew ndo mwanaume wake unaye mjali kuliko aliye naye kama anaye
Sent using Jamii Forums mobile app