Are we talking about Africa again or love's affairs???No free lunch in Africa
Are we talking about Africa again or love's affairs???
Sipendi ofa mimiMkuu njoo nikupe lunch
Kwaiyo nyii hamtoagi sadaka mpaka mlipwe
ha ha ha ha haSipendi ofa mimi
kwa hiyo niache ndugu/wazazi nije kukupa wwKwaiyo nyii hamtoagi sadaka mpaka mlipwe
najua haya ni mawazo ya wanaume wote watafutajiAsante umetuwakilisha vyema
kwa hiyo niache ndugu/wazazi nije kukupa ww
yaani watu wengine kujiongeza ni zero"Ukitaka kula lazima ukubali kuliwa pia" sijui kwanini wanasahau hii kauli eti nikulipie hadi kodi ya nyumba halafu unazingua zingua tu!!!
Hamnaga sadakakutoka kwa me kwenda kwa ke
Wewe kanisa?Kwaiyo we unatoaga kwa me pekeyao
Wewe kanisa?