Mwanaume akupe lunch; dinner; nauli, bure bure tu?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii kanuni safi

mpuuzi mpuuzi tu
 
Khaa maslei kwini ndiyo wanapenda ofa....mie mwenzangu na Mimi nipende ofa za nini
hahahahahahha safi kabisa; i wish ningekutana na mwanamke kama ww; yaani kila mahali ukigusa unaambiwa matatizo mengi as if mwanaume huna matatizo
 
Usikurupuke kutongoza kwa kusukumwa na hisia zako sababu umeona tako kubwa...au karangi keupe ...au shepu ya dondora ...tumia akili kutafuta mwanamke
 
Yani kwamba tako lisinichanganye kabisa sio?
 
Usikurupuke kutongoza kwa kusukumwa na hisia zako sababu umeona tako kubwa...au karangi keupe ...au shepu ya dondora ...tumia akili kutafuta mwanamke
wanaume wote duniani wanapenda vitu hivyo sema tukitaka kuoa ndo tunahamishia majeshi sehemu nyingine hizo zinabaki kuwa mchepuko....yaani mchepuko uliozidi njia kuu kila eneo;; maana siunajua shape hizo hazioleki....ni sawa na kuweka shamba la miwa karibu na wanafnzi
 
Tumetofautina sana! Unajua kuna wanaume, mijanaume & vijanaume. Hasa ukiwa mwanaume, kumtoa mwanamke out, sijui kumsaidia mambo madogo madogo bure kabisa na hata usimtamkie, au kumuonesha kama unamtaka inawezekana kabisa . . . Sema nyie vijanaume na mijanaume haya mambo mnayachukulia seriously.
 
yaani umsaidie tu mwanamke; na unaona anaeleweka?? labda uwe shoga ndo hutamtaka; hata yeye ataenda kusema kwa wenzake jamaa domo zege
 
Back
Top Bottom