Ahahaha kama wapo wanaowapenda wababa wa vipini ivyo....basi dah kazi ipo mkuuUnderstood! Chakushangaza wapo mabinti na wanawake wanaowazimia na kuwapenda kwa moyo wote, hapo nafikiri hili swala la kusema "si uanaume" lipo very subjective. Its depends na individuals thoughts. i.e Wakati mmoja anapenda mwanaume mpole, gentleman na mtaratibu kuna wanawake wengine wanapenda wanaume chakaramu, rough and hardcore.