Mwanaume akiweka kipini

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,282
1587287236011.jpeg


Kipini puani kina maana gani kwa mtoto wa kiume?
 
Hakosi kuwa na tabia zifuatazo:-
Ushoga
Mlevi wa madawa
Vijitabia vya kike
Uhuni kwa ujumla japo wengine wanasema ni kutokana na sanaa wasanii wanafanya hvyo lakin swali ni je sanaa ni kutoboa pua?
 
mbona kawaida sema ni vile tu watu tunatofautiana ktk kuyatfsiri mambo...

kuna rafiki angu ni rasta bt havuti bangi ye anakwambia kawa vile tu coz ana wainspire bob marley na lucky dube
 
Hivo vitu acha wafanye hao macelebs tu ukifanya mwenzangu na mimi wa kwa mtogole utaonekana sio ridhiki. Perceptions za wabongo.
 
Ata akiwa celebrity mkuu, si vyema kufanya jambo km ilo. Linakuwa si uanaume.
Understood! Chakushangaza wapo mabinti na wanawake wanaowazimia na kuwapenda kwa moyo wote, hapo nafikiri hili swala la kusema "si uanaume" lipo very subjective. Its depends na individuals thoughts. i.e Wakati mmoja anapenda mwanaume mpole, gentleman na mtaratibu kuna wanawake wengine wanapenda wanaume chakaramu, rough and hardcore.
 
Kuna wanaume wanaamini kuwa ili uonekane handsome ni lazima uwe na muonekano au kufanya mambo ya kike...
 
Back
Top Bottom