Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Hahaha leo lawama zote kwa michepuko teh teh. Tulieni na wake zenu
Pamoja na kuwa siamini ushirikina lakini dunia inatisha sana, hii unaona ni kuwa watu wamekosa hope ya maisha, wako tayari kufanya chochote ili wa survive.
 
Naona maandamano ya kupinga michepuko ila wakati mwingine wanaume tunalaumiwa bila makosa.
wengine wanachekupa wake zao wanasababisha.
 
Ukitaka kujua tabia ya mwanaume apate pesa na ukitaka kujua ya mwanamke filisika. Hakuna wa afadhali, ukifilisika ..... anaondoka
 
Pamoja na kuwa siamini ushirikina lakini dunia inatisha sana, hii unaona ni kuwa watu wamekosa hope ya maisha, wako tayari kufanya chochote ili wa survive.
upo sana tu ndo unamaliza waume zetu huo!!
maana mtu anaroga ili asurvive !
Aah watu hata hatumwogopi Mungu, jipendekeze uliwe

yaani watu hawaogopi wanalala makaburini kuroga waume wa wenzao
 
upo sana tu ndo unamaliza waume zetu huo!!
maana mtu anaroga ili asurvive !

yaani watu hawaogopi wanalala makaburini kuroga waume wa wenzao
Sio tu waume za watu binamu, wewe sasa hivi mtongoze binti afu ulete utani. Unawekwa sawa tu, utatangaza ndoa bila kupenda. Waache waendelee kujichetua, wenzao wamejipanga teh, watakoma viranga
 
Sio tu waume za watu binamu, wewe sasa hivi mtongoze binti afu ulete utani. Unawekwa sawa tu, utatangaza ndoa bila kupenda. Waache waendelee kujichetua, wenzao wamejipanga teh
sana tu Ila Mara nyingi ndoa za kulazimisha binamu hata kama utaolewa ndo vinachuja tena unaanza kujuta
Maana limbwata nalo Lina mda wa kuisha na ukiolewa kwa ushirikina bas utakua mtumwa wa waganga mpk mwisho wa ndoa yako
 
Sio tu waume za watu binamu, wewe sasa hivi mtongoze binti afu ulete utani. Unawekwa sawa tu, utatangaza ndoa bila kupenda. Waache waendelee kujichetua, wenzao wamejipanga teh
hawaturogi mkuu mahaba tuu ndo uchawi
 
sana tu Ila Mara nyingi ndoa za kulazimisha binamu hata kama utaolewa ndo vinachuja tena unaanza kujuta
Maana limbwata nalo Lina mda wa kuisha na ukiolewa kwa ushirikina bas utakua mtumwa wa waganga mpk mwisho wa ndoa yako
Aah binamu, mwanamke mshirikina ni wa kumkimbia kabisa. Mtu kulala na mganga sijui makaburini haoni tabu. Yeye si anajua limbwata lina-expire, ana renew tu mbona. Itokee siku umeangukia kwa Mungu, ndo itakuwa salama yako. Hata by the time ndoa imeisha, anakuwa ashakuharibia maisha yako sana
 
Hahahaa

Mwanaume wa hivyo inamtiririsha vibaya mno asilete ujinga hapa

Sema wanawake nao sometimes hawajitambui....jitu limekutelekeza miaka.......linarudi unalipokea yelewiiiiiii

Yaani ukiondoka usithubutu kurudi......kama shida kujua hali za wanao nitakupa namba zao za simu...au landline ya familia...

Nani anataka inzi....
Utafanyaje sasa ndo kifo mpk kiwatenganisha na wanawake tunafia watoto yani ukiwaza watoto unarudi bila kupenda

Ila mi hapana kwa kweli its over sirudi nyuma katuu!!
 
Back
Top Bottom