Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Hayo ndio mapungufu ya wanaume tuliowengi hii hutokea kwa limbwata yaani uchawi au hali ya kawaida ila mara chache.

Fikiria Kwa kina ni Baba yupi anatamani kuitelekeza familia yake yaani Mke aliyemsotea kumuomba amuoe na watoto aliozaa na huyo mke.

Tatizo ndoa nyingine haziko Kwa upendo bali shinikizo alimtia mimba basi wanaishi, alimuwekea madawa limbwata basi wanaishi akija kaenda Kwa mkali zaidi mganga basi jamaa anahama.

Wewe utafikiri ni hela imemkimbiza kumbe mchepuko umemtengeneza baada ya kuona hela.
Aaaah wee, huo mchepuko ulikifuata nyumbani kwako, ukafunua hotpot ukakuwekea limbwata? Si umeufuata mwenyewe huko nje? Tukiwaambia tulieni na wake zenu, mnadai ooh sisi kuwa na wanawake wengi ni asili yetu. Me kalichume tu janga huko nje, utalila na kulitafuna peke ako. Na wengine hakuna cha limbwata wala nini, ulimbukeni wao tu

Hata kama ilitokea sababu yoyote mkajikuta kwenye ndoa bila kutegemea, basi ikubali tu hiyo ndoa yako iboreshe, itunze na utaifurahia, otherwise usimuoe mtu kama unajua utampa tu mateso. Na wengine wanaoa kwa mapenzi yao, ila baadaye ndo utasikia "wewe sio hadhi yangu", nenda kwa wenye hadhi yako basi, ila omba usije ukarudi kwangu tu. Afu mwingine kisa hampendi tena mke, ndo na watoto hawajali tena, inahusu nini
 
Unaona eeeh
Iisa cha kufa kwa starehe za mwingibe nani anataka....

Yaani nakutiririsha tu

Hukunithamini ulipokuwa nacho leo huna ndio uone thamani yangu?????

Ndio tunajua wanarudigi....lakina hapana aisee kiroho safi abaki huko huko
For better- anahamia kwa michepuko
For worse- I love you mke wangu mtcheeew
 
For better- anahamia kwa michepuko
For worse- I love you mke wangu mtcheeew
Acha tu

Mnatafuta weeeee

Mkipata wewe ndio unakua mzee...sio type yake ..... anadakwa na micheps zikiisha arudi mfyuuuuuuuuu hizo zikikuwa enzi za bibi zetu.....enzi hizi hainaga kurudi.....
 
Hapa umechoma kumoyo, na hii ipo kwa wanandoa wengi sana. Mtu anahangaika weee, siku akiukwaa hasemi, anaanza dozi kimya kimya. Wewe mwenzangu na mimi hadi uje ushtuke uwiii. Watu wengine wauaji khaa
Wakati mlioana wote mkiwa wazima, akwambie mabadiliko wakati yeye anajua njia alizopita?
 
ukiniacha ukiwa na akili zako timamu kisa sio type yako uhakikishe hunipendi kweli maana ukiondoka sikupokei asilani " nimebadilika nini sasa wanifwatafwata nini" in Ray C's voice
 
Nimebakiza kisa kimoja nimuache shemeji yako.

Kama hawezi kuwa serious anategemea mimi nitaweza?

Usilazimishe kupanda mlima mkali na gia namba 5.
 
Aaaah wee, huo mchepuko ulikifuata nyumbani kwako, ukafunua hotpot ukakuwekea limbwata? Si umeufuata mwenyewe huko nje? Tukiwaambia tulieni na wake zenu, mnadai ooh sisi kuwa na wanawake wengi ni asili yetu. Me kalichume tu janga huko nje, utalila na kulitafuna peke ako. Na wengine hakuna cha limbwata wala nini, ulimbukeni wao tu

Hata kama ilitokea sababu yoyote mkajikuta kwenye ndoa bila kutegemea, basi ikubali tu hiyo ndoa yako iboreshe, itunze na utaifurahia, otherwise usimuoe mtu kama unajua utampa tu mateso. Na wengine wanaoa kwa mapenzi yao, ila baadaye ndo utasikia "wewe sio hadhi yangu", nenda kwa wenye hadhi yako basi, ila omba usije ukarudi kwangu tu. Afu mwingine kisa hampendi tena mke, ndo na watoto hawajali tena, inahusu nini

Kuchepuka dhana Pana sana sasa mtu anaweza kujiweka karibu akakupata mfano picha za whatup profile limbwata sio lazima upikiwe tu.

Kuna mengi Kwa kila linalomtokea mwanaume na ukitaka kujua hayo ndio maana baada ya muda akili zinarudi na mtu anaanza kurudi Kwa familia yake.

Ingekua tu ni maamuzi basi wasingerudi moja Kwa moja bali wangekua wanaenda azima.

Ukienda makanisa ya kiriho au kwa waganga matatizo mengi ya wanawake ni haya ya mahusiano.
 
Kwa hiyo tufe wote? Yeye kagharamika huko na raha juu kuyatafuta maradhi, aje kunipa mie maradhi bure bure? aseeeeeeee
Lakini kuna watu wanakuwa waaminifu sana, tena mara nyingi ni wale waaminifu lakini imetokea ajali, atamwambia mke wake, nililala na mtu bila kinga, tusubiri miezi mitatu ipite nikapime kwasasa tutumie kinga. Ni wachache lakini wapo.
 
Kuchepuka dhana Pana sana sasa mtu anaweza kujiweka karibu akakupata mfano picha za whatup profile limbwata sio lazima upikiwe tu.

Kuna mengi Kwa kila linalomtokea mwanaume na ukitaka kujua hayo ndio maana baada ya muda akili zinarudi na mtu anaanza kurudi Kwa familia yake.

Ingekua tu ni maamuzi basi wasingerudi moja Kwa moja bali wangekua wanaenda azima.

Ukienda makanisa ya kiriho au kwa waganga matatizo mengi ya wanawake ni haya ya mahusiano.
Mbona hamrudigi mapema bado mkiwa na afya njema na hela zenu?

Makanisa ya kiroho wanajaa wanawake kulilia ndoa zao, ndoa upate picha wanaume wengi walivyo headache kwenye ndoa zao. Tena ukipata mke muombaji shukuru Mungu, mwingine msumbue tu kidogo anakugeuza ndondocha Mbona
 
Jamani poleni lakini sio wote..wengine.hatuko hivyo!!
 
Lakini kuna watu wanakuwa waaminifu sana, tena mara nyingi ni wale waaminifu lakini imetokea ajali, atamwambia mke wake, nililala na mtu bila kinga, tusubiri miezi mitatu ipite nikapime kwasasa tutumie kinga. Ni wachache lakini wapo.
Wa hivyo ni mmoja kati ya million. Wengi wanachepuka na hawajisikii hatia kuchepuka afu bado likuambukize mtcheeew
 
Mbona hamrudigi mapema bado mkiwa na afya njema na hela zenu?

Makanisa ya kiroho wanajaa wanawake kulilia ndoa zao, ndoa upate picha wanaume wengi walivyo headache kwenye ndoa zao. Tena ukipata mke muombaji shughuli Mungu, mwingine msumbue tu kidogo anakugeuza ndondocha Mbona
Kurudi ni mpaka dawa ipungue nguvu hii inachukua mda kutegemeana na mtaalamu alivyoweka mambo hivi vitu vipo sana.

Kuna biashara watu wanatumia kizizi michepuko mingine inatumia sana hivi vitu hasa iking'amua una hela ndio gusa unase sijui nini?

Fedha ikiisha wanakuagua wenyewe unarudi Kwa wife. Lawama zinaanza halo.
 
Hahaha leo lawama zote kwa michepuko teh teh. Tulieni na wake zenu
 
Back
Top Bottom