Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Mwanaume acha mke ukiwa humpendi

Off course I don't wanna get myself into hell again coz I don't how far evils have gone!
So namuangalia tu anavyojibebisha bebisha kwangu but nooo!!though his family are very good people to be honest they luv and support me kwa kila hatua!
tatizo ni yy tu!
I understand
 
Yani siku hizi Ndoa imekuwa kama ya mwanamke tu, wanaume wao ni wa kuombewa tu, ndo maana Ndoa nyingi zinafail. Aisee me mwenyewe namuomba Mungu anipe mume atakayekuwa ananiombea mkewe
Kweli binamu kuna siku nilikua maeneo Fulani nkakutana na classmate wangu tukawa tunaongelea kuhusu ndoa zetu nlichoka alivyoniambia amerudi kwao sikuamini the way Dada alivyo descent mpk tulikua tunamuita mama mchungaji!
Daah!nilishangaa sana kwa kweli nikasema Huyo kaka amgejua anatupa almas anaikimbilia shaba!
 
Uuuh Mungu atusaidie tu
 
Habari za Jumapili wanajamvi,

Naomba nishauri wanaume wenye tabia ya kuacha au kutelekeza wake zao nusunusu.

Takuta mwanaume anakufanyia visa vingi ndani hapo ndo kashaanza michepuko huko, mnakaa ndani miezi hakuna kukutana kimwili, nyumba ugomvi hauishi na inageuka uwanja wa mapambano kila siku.

Ukienda kumshtaki kwa watu wazima mana uvumilivu sasa umeshindikanika akiulizwa mkeo ana kosa gani'anajibu hajanifanya chochote simpendi tu sasa, mvumilivu, anawapenda ndugu zangu ananihudumia vizuri Ila mimi tu simpendi! s"ababu hana, kumbe hela zinampa kibri. Anakutimua kama mbwa kwake unakomaa huondoki mwisho analeta mwenzio ndani make wrote ndo unapojitoa hapo kurudi kwenu.

Unafika unayumbaaa kimaisha maana hana msaada na wewe wala watoto mpaka unasimama tena kimaisha. Michepuko ile sasa inamkimbia maana anaanza kuyumba, kila mwanamke anatimua kila siku nyumba inakua gesti bubu! Unakomaa we mama na wanao mpaka wanaanza shule tayari maisha yanaanza kukaa sawa na umeshamsahau kabisa katika ramani ya moyo wako sasa unaenjoy na watoto wako yeye sasa anajileta.

Anaanza kukusifia kila Sikh asubuhi meseji Mara whatsap, Mara texts na ujinga wotee, haitoshi anaanza kuomba msamaha urudi tena kwake' unajiuliza nirudi kwa kua ananipenda au kwa kua amefilisika niende kumueka kwenye BOOM ili akudhalilishe tena samahani sana, mwanamke sio mua kua una thamani pale unapouhitaji ukimaliza yale maganda unatupa haraka sana maana ni uchafu,
mwanamke pia sio condom unaitumia na kuitupa.

Tabia ya kuwafanya wake zenu au wenza wenu wa ukweli spea tairi muiache sio nzuri. Ana mapungufu mvumilie maana ndo ushamuoa huyo au ndo ushamzalisha tayari, wanaume jifunzeni kuwa na huruma na wake zenu.

Jumapili njema!

First thing first, umem block WhatsApp?
 
Ttzo nyie wasichana mlio ndan ya ndoa heshma na utambuzi wa mume kama mkuu wa family ni mdogo.Nadhan mnahitaji mafunzo ya kutosha kabla ya kuingia kwenye ndoa!
 
Tusomeshe sana watoto wetu wa kike, yaani wasome tu.
sana tu,somesha mnoo!!
Miaka miwili ya furaha ambayo imechagizwa na salio. Ghafla maisha yanabadilika. . .. Ule udhaifu uliokuwa unavumiliwa sasa ni karaha!!!
nooo!let me tel uu kwa urefu
one year of rltnship alikua vizuri sana kimaisha,after marriage akayumba biashara zote akawa zero kabisa ndo mama mkwe alinikubali,maana nilimsimamia m alikua anakua km mwehu hv au anataka kujiua,kuna ishu nkafanya tukalipa madeni nilisimama nae kwenye hardship time mpk baada ya mwaka na nusu hivi akaanza kurevive!!
Alivyorudi kwenye Boom second time sasaaaa!!
Hapo ndo nilimjua wa rangi ipi sasa!!
 
Only God knows
 
Kuna kumbukumbu yote namna alivyokusapoti pamoja na madhaifu yake?
 
Back
Top Bottom