Mzumbe mnatendewa haki hapa
kwani nawe Voda fasta?
Mnafiki huyu. Kama kungekuwa na adhabu ya kupewa mtu anayeongea uongo bungeni basi huyu angepewa
Kama kungekua na tuzo ya mwanasiasa bora wa week basi bilashaka Hussein Bashe alipaswa apewe.
[HASHTAG]#GoldenPeople[/HASHTAG]
Mnafiki tu huyu, hana kitu kichwani huyu. Anachambua vitu kwa chuki. Yeye akae asubiri kulipwa posho. Na kibaya nyeupe alilamba hela yake sijui 2020 atatoa wapi hela ya kampeniNi mmoja kati ya wabunge wenye mawazo pevu kabisa
Aaaaah, kweli unajua kingereza wewe!! Broken ipi aliongea ebu iweke hapaiiHuyu jamaa huwa ananikera kutaka kuonyesha kuwa ni msomi kwa kutamka maneno ya Kiingereza ambayo ni broken tupu.
Kama anamuweza aombe waongee japo Dk 30 bila kuomba maji, tuache kuponda Uwezo wa MTU kuongea lugha ngumu iliyowashinda hata wazungu wenyewe.Aaaaah, kweli unajua kingereza wewe!! Broken ipi aliongea ebu iweke hapaii