Mwanasiasa Hussein Bashe anastahili tuzo

44ce972384dc9d26b32d0b6200323005.jpg

Kama kungekua na tuzo ya mwanasiasa bora wa week basi bilashaka Hussein Bashe alipaswa apewe.

[HASHTAG]#GoldenPeople[/HASHTAG]
Kweli kabisa ndugu.Huyu ni mbunge wa maana sana kwa nchi hii yenye wabunge wanaojikomba kwa vyama vyao. Hussein Bashe anatetea maendeleo ya nchi na si ya chama chake.
 
Ukiona myonyaji anageuka kutetea kundi la wanyonywaji ujue mirija yake imekatwa!
Wengine ni watetezi wa kundi la wanyonyaji
Cc: Zitto,
 
Mnafiki tu huyu, hana kitu kichwani huyu. Anachambua vitu kwa chuki. Yeye akae asubiri kulipwa posho. Na kibaya nyeupe alilamba hela yake sijui 2020 atatoa wapi hela ya kampeni
Na wewe unalipwa buku 7 au imepanda??
 
Mnafiki tu huyu, hana kitu kichwani huyu. Anachambua vitu kwa chuki. Yeye akae asubiri kulipwa posho. Na kibaya nyeupe alilamba hela yake sijui 2020 atatoa wapi hela ya kampeni
bashe haihitaji hela kufanya kampeni nzega.

Pia sidhani kama unaelewa maana ya neno mnafiki,
au la unaelewa lakini unahitaji wanao waendelee kuhudhuria toilet
 
Ameongelea mambo muhimu sana vizuri sana hapa. Wasikilize maoni yake. ikiwezekana apewe cheo muhimu kwenye wizara ya fedha kuisaidia serikali kutengeza sera nzuri hasa kwenye mambo ya kilimo, imports, exports, taxation policy, Inflation and helping small business to grow and thrive.

Mnafiki tu huyu, hana kitu kichwani huyu. Anachambua vitu kwa chuki. Yeye akae asubiri kulipwa posho. Na kibaya nyeupe alilamba hela yake sijui 2020 atatoa wapi hela ya kampeni

Wewe una nini kichwani ilhali una akili kiduchu tu za kukatia gogo tu?
 
Ni mwanasiasa bora zaidi kwa awamu hii ya tano ameweza kuikosoa serikali yake na chama chake ambacho cdm hawawezi kukemea chama chao maana si yote mazuri...

Anakemea, ana onya ana shauri... Hakika apewe tuzo kathubutu
 
Back
Top Bottom