Mwanasiasa Hussein Bashe anastahili tuzo

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
233
44ce972384dc9d26b32d0b6200323005.jpg



Kama kungekua na tuzo ya mwanasiasa bora wa week basi bilashaka Hussein Bashe alipaswa apewe.

[HASHTAG]#GoldenPeople[/HASHTAG]
 
Tetesi? Kwahiyo haina uhakika au? Kuna haja wa kujitokeza Ras Simba wa kozi za kiswahili.
Mkuu sifuri na zero zinatofauti kikubwa ni wew kuelewa tu mengine achana nayo iwe na uhakika au haina uhakika.
 
44ce972384dc9d26b32d0b6200323005.jpg



Kama kungekua na tuzo ya mwanasiasa bora wa week basi bilashaka Hussein Bashe alipaswa apewe.

[HASHTAG]#GoldenPeople[/HASHTAG]
Mnafiki huyu. Kama kungekuwa na adhabu ya kupewa mtu anayeongea uongo bungeni basi huyu angepewa
 
Ni mmoja kati ya wabunge wenye mawazo pevu kabisa
Mnafiki tu huyu, hana kitu kichwani huyu. Anachambua vitu kwa chuki. Yeye akae asubiri kulipwa posho. Na kibaya nyeupe alilamba hela yake sijui 2020 atatoa wapi hela ya kampeni
 
inabidi uwe msomaji wa takwimu za mambo anayoongelea ndio uanze kumsifu.
maana wafuatiliaji wanasema mule kuna chumvi na ujanjaujanja kwenye maelezo yake.
kikubwa watanzania tupende kusoma ili tuwe na uwezo wa kumpinga hata msomaji anapopotosha
 
Uzuri wa huyu jamaa anajua kujenga hoja sana sana. Huwezi mfananisha na Lusinde au Agnes Marwa.
 
Back
Top Bottom