Werema kaamua kuwaambia indirecrly ccm wasitishe BMK, anaogopa kuwaambia directly. Sikumbuki kama imewahi tokea b4 mwanasheria mkuu kufanya press conference, ni kwamba anaogopa kumwambia mfalme kuwa yuko uchi kwa hakika anaogopa lawama kuwa wananchi watasema pesa imepotea bure, mwanasheria hakuwashauri watoa maamuzi juu ya theluthi 2 za Zanzibar haziwezi kupatikana and so Bunge liahirishwe ili kutafuta maridhiano kwanza. Anapowaomba UKAWA warudi nafikiri anafanya utani, Kikubwa ni kuwa anapeleka meseji kwa watoa uamuzi kwamba bunge liahirishwe na take note that ameamua kusema baada ya kauli ya ikulu kuwa katiba itapatikana hata bila UKAWA.
ni kweli, ukingatia ndani ya siku 60 milioni 18, naona mzee Arfi uzalendo umemshinda, kaamua kusaliti watanzania kwa kushabikia pesa!mkuu wote waliopo pale dom ni ulafitu umewapeleka laki3 kwa day siomasihara mkuu kuna mtu mpaka anakufa hajawai piga laki3 sasa kwa nini asikamie?
mkuu lengo si kwamba wanawapenda ukawa la hasha, ni kutaka kuhalalisha huu ufisadi wa posho huko dodoma, ili mwakani waseme, hata jussa alichukuwa posho, na hata lissu alikuwepo nk.Mpaka anambembeza hivyo kawa mpole. Mpaka anawakumbushia kwamba wanasali wote so what.
mkuu lengo si kwamba wanawapenda ukawa la hasha, ni kutaka kuhalalisha huu ufisadi wa posho huko dodoma, ili mwakani waseme, hata jussa alichukuwa posho, na hata lissu alikuwepo nk.
nchi ihi inaenda enda kama gari lililopoteza mwelekeo?
ni kweli, ukingatia ndani ya siku 60 milioni 18, naona mzee Arfi uzalendo umemshinda, kaamua kusaliti watanzania kwa kushabikia pesa!
Nasubiri kauli ya Mwanasheria mkuu wa chama chetu CCM Mh Ndg Nape Nnauye. Mie huwa namfananisha sana na Marehem Tarikh Azizi msemaji mkuu wa ile serikali ya Sadam Hussein
Wewe Lumumba leoupo upande gani, tangu lini ukawatambua UKAWA?
Tarikh Aziz hakuwa msemaji mkuu wa serikali ya Sadam Hussein bali Makamu wa Rais. ..nitakutafutia jina la huyo aliye kuwa waziri wa habari. ..aliyekuwa msemaji mkuu wakati wa vita ya Iraq na US