Mimi nawaomba ndugu zangu hawa wa Ukawa warejee bungeni kwani mchakato huu unahitaji ushirikiano wao,hebu tuajiulize sote tunaitaji mchango wa Tundu Lissu wakati wa kujadili masuala ya haki za Binadamu tunataka kujua yeye anasemaje lakini kukataa kuja seheme zingine s,nawaomba sana warudi jamani,wengine wajumbe hawa tunasali nao kanisani ikiwemo ndugu yangu Mbatia aje bwana bungenializidi kusema Werema.
Umeweka maneno yako mpaka sijaelewa Ag kasema nini
Werema sio mjinga aungane na wajinga
Kwa akili ya ccm hata upelekwe tuition India hutokaa uelewe ndo mmeubwa hivyo!
Werema sio mjinga aungane na wajinga
Ha..ha...haaa.Sita, Wassira Lukuvi chaliiii....
Mwandishi ana r nyingi mpaka zinapitiliza.
Mada ya kijinga sana hii