Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

Jaji Werema amemwandikia mhe.rais kujiuzuru nafasi yake kwa sababu ushauri wake ulitafsiriwa vibaya na kulisababishia taifa hasara.

chanzo:channel ten habari

It is too late, Alikuwa wapi tango kasha him owe wazi wazi? Huu ni mchezo uleule wa kawaida tu
 
Hakuchafua hali ya hewa. Ameshiriki kwenye wizi na anastahili kufikishwa kwa Pilato. Jk hana cha kufanya ni lazima atimize matakwa ya bunge na washirika wetu wa maendeleo. Mtu kashiriki wizi halafu anasifiwa kwa utendaji wa uaminifu? Prof wa kilimo kwanza bana
 
Jaji Werema amemwandikia mhe.rais kujiuzuru nafasi yake kwa sababu ushauri wake ulitafsiriwa vibaya na kulisababishia taifa hasara.

chanzo:channel ten habari

It is too late, Alikuwa wapi tangu kashfa him iwe wazi wazi? Huu ni mchezo uleule wa kawaida tu
 
Alieanzisha huu "uzi" ni nani?yaani watu wanne wote mnarudia kitu kilekile!wengine yatupasa kuchangia tu!
 
Kujiuzulu peke yake haitoshi. Afike kwa pilato kujibu kutumia nafasi vibaya na kuisababishia serikali kuibiwa hela
 
Back
Top Bottom