Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,932
- 5,570
Tundu Lissu ndo mwanasheria wa serikali mtarajiwa .Mnataka mpaka achaguliwe Lissu kuwa AG ndo mridhike?

Huyu AG ni msomi mzuri wa Kikristo hawezi kuwa hana uwezo.
Kwa hakika huyu AG mpya ni pigo kubwa kwa watanzania.Kwa kweli amepwaya kupita kiasi!
Tangu aingie ofisini kwa mwezi sasa huwezi kuamini kama ni mwamasheria aliyeiva kiasi cha kupewa cheo kikubwa namna hiyo!
Akiitisha vikao vya kiofisi hadi unamuonea huruma! Kujieleza hajui! Kichwani anaonekana kama haijui sheria kwa kiasi kikubwa mno! Mikataba haijui vizuri kama mtu mwenye cheo cha juu serikalini!
Ikiwa hayo hayajatulia leo akaongea bungeni kwa mara ya kwanza kwenye hoja nzito! Kujieleza kukamshinda tena! Hajui kutofautisha kati ya waziri wa mambo ya nje na waziri wa mambo ya ndani! Hivi kweli Mathias Chikawe ni waziri wa mambo ya nje? Ameishia kutoa maelezo ya juu juu tu eti jambo liko mahakamani lisijadiliwe! Kwa kiwango kipi lisijadiliwe? Kweli ameshindwa kuweka vigezo vya kipi kijadiliwe na ni kipi kisijadiliwe? Mbona spika ambaye ni bush lawyer ameweza?
Miongoni mwa sifa za anayepewa cheo kikubwa kama hicho ni kujiamini na kuhakikisha makosa ya hovyo wakati wa kujieleza hayatokei! Vingine basi huo utakuwa ni udhaifu mkubwa!
Huyu AG kwa kweli ukifanya naye kikao hadi unamuonea huruma! Ni mweupe na asiyejiamini!
Huyu cheo alichopewa ni mzigo mzito kwake na watanzania hatuna siku mbili mtajionea haya ninayowaambieni leo!
kwa hiyo arudishwe Joka lenye makengeza...?
Afadhali tungeazima lecturer mmoja wa sharia laws pale Muslim University of Morogoro awe AGHuyu AG ni msomi mzuri wa Kikristo hawezi kuwa hana uwezo.
Mkuu nadhani wewe mwenyeji sana humu JF mbona mara kibao tu uwa tunaambiwa Wakirsto wapo serikalini kutokana na uwezo wao na shule, Waislam waendelee kukaa vibarazani tu.Mkuu mkristo ndo anasifa ya uungu? kwamba hakosei? anaweza yote au mtimilifu?
Yeye ni binadamu Kama wengine tu ndio maana binadamu wana dini but hakuna aliyeumba kwa kutofautishwa na dini nyingine.
Nasikia Chadema wakichuwa nchi Padre Slaa anawaleta wasomi kutoka Vatican City kuinua uchumi wa Tanzania.Afadhali tungeazima lecturer mmoja wa sharia laws pale Muslim University of Morogoro awe AG
Hakuna haja ya kwenda kuwachukua Vatican, wasomi kibao hapa nchini wamesoma Seminary za Kikatoliki na syllabus ni ile ile ya Vatican. Hata mzee wa magogoni ilibidi abadili jina la kusomea kwa muda, na aliitwa SAMWEL LUHANGANasikia Chadema wakichuwa nchi Padre Slaa anawaleta wasomi kutoka Vatican City kuinua uchumi wa Tanzania.
Mkuu nadhani wewe mwenyeji sana humu JF mbona mara kibao tu uwa tunaambiwa Wakirsto wapo serikalini kutokana na uwezo wao na shule, Waislam waendelee kukaa vibarazani tu.
Kwa hakika huyu AG mpya ni pigo kubwa kwa watanzania.Kwa kweli amepwaya kupita kiasi!
Tangu aingie ofisini kwa mwezi sasa huwezi kuamini kama ni mwamasheria aliyeiva kiasi cha kupewa cheo kikubwa namna hiyo!
Akiitisha vikao vya kiofisi hadi unamuonea huruma! Kujieleza hajui! Kichwani anaonekana kama haijui sheria kwa kiasi kikubwa mno! Mikataba haijui vizuri kama mtu mwenye cheo cha juu serikalini!
Ikiwa hayo hayajatulia leo akaongea bungeni kwa mara ya kwanza kwenye hoja nzito! Kujieleza kukamshinda tena! Hajui kutofautisha kati ya waziri wa mambo ya nje na waziri wa mambo ya ndani! Hivi kweli Mathias Chikawe ni waziri wa mambo ya nje? Ameishia kutoa maelezo ya juu juu tu eti jambo liko mahakamani lisijadiliwe! Kwa kiwango kipi lisijadiliwe? Kweli ameshindwa kuweka vigezo vya kipi kijadiliwe na ni kipi kisijadiliwe? Mbona spika ambaye ni bush lawyer ameweza?
Miongoni mwa sifa za anayepewa cheo kikubwa kama hicho ni kujiamini na kuhakikisha makosa ya hovyo wakati wa kujieleza hayatokei! Vingine basi huo utakuwa ni udhaifu mkubwa!
Huyu AG kwa kweli ukifanya naye kikao hadi unamuonea huruma! Ni mweupe na asiyejiamini!
Huyu cheo alichopewa ni mzigo mzito kwake na watanzania hatuna siku mbili mtajionea haya ninayowaambieni leo!
Anaonekana hana jipya ila nawe mleta hoja yaonekana huna kitu kama UNAZANI badala ya KUDHANI