Mwanasheria Mkuu Marekani aamuru uchunguzi kuhusu upigaji kura

Kwamba hata katika dunia ya ‘waliostaarabika’ unaweza kushindwa uchaguzi ila bado ukakomaa na kutafuta kila namna ya kuendelea kubaki Ikulu

Trump hana evidence ya maana. Kapigwa popular votes na zile za majimbo/electoral votes. Hizo kesi zake ataaibikia kwa mara nyingine tena
Lakin kwa historia tu ana bahati ya mtende kila kesi anayokuwa nayo huchomoka mapema,,,kumbukeni hili
 
Back
Top Bottom