Mwanangu mkorofi, anajikojolea kitandani

Mwanangu mkorofi, anajikojolea kitandani

Ni vema, kama walivyochangia wengine, hakikisha hapati kimiminika chochote baada ya saa kumi na mbili jioni. Jitahidi kuwa unamuamsha usiku, saa sita na saa kumi usiku! Tengeneza shajara (diary) itakayoonyesha siku ambazo zilikuwa kavu na siku ambazo alikojoa. Kaa naye na jaribu kujua nini kilikuwa kimemsibu siku ambazo alikojo. Ikumbukwe kwamba STRESS ni moja ya sababu ya kufanya mtoto kukojoa kitandani! Kumuadhibu haisaidii bali inazidisha tatizo!

Kuna ugonjwa wa watoto unaitwa ATTENTION DEFICIT HYPERACTIVE DISORDER (ADHD), watoto hawa hukosa usikivu kabisa na wanakuwa na utundu uliopitiliza. Pia huwa na tatizola usahaulifu mkubwa. Watoto hawa huwa waanga wa adhabu kwa vile wazazi/walezi/walimu wataona kuwa wana kiburi hawataki kubadilika!

Ni vema ukampeleka mtoto wako hospitali aonwe na daktari wa watoto au na wana saikolojia.
 
Pole ni tatizo kwa watot wengi.
Hata mimi nina wa kwangu ten yrs.
Ni kikojzi vibaya.
Nafanya hivi kuanzia sa moja asinywe
Juis wala maji namuasha mara 2
Ana miez2 hajakojoa.
Uzito wa kuelewa linawapata vikojoz wengi
Ila wa kwangu amebadlika sas ameanza na kupata A darasani.na pia kusinzia darasani ni limpeleka pia kwnye maombi.
Usimpige wakati mwingine adui
Maombi ni njia sahihi zaidi kama hilo tatizo ni sugu...
 
Nina uhakika baada ya muda utaitelekeza id hii na kuja na nyingine mana si kwa kujianika huko😂😂😂 bado ni mgeni ngoja tukupe muda Japheti.
msalimie wifii yetu😋😋😋
 
Mkuu wikiendi bado haijaanza au stress
ukimuendekeza huyu hako katabia atatambaa nako mpaka anakuwa mtu mzima,ila kwa hiyo picha yako nadhani uendelee kuchukua maoni yatakoyokuhamasisha kuacha kutuma picha zako humu
 
Cha muhimu usimpe maji mengi jioni tatizo litaisha mara moja
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kma vilitaka fanana na vyako[emoji23][emoji23]
Jamani hakuna kiatu kinampendeza mwanaume kama Loafers jaman..yaan mnapend3za sana jaman hamjui tu..mimoka hii mm marufuku kbs
Duh kama unakapicha kahiyo loafers ungekatupia ili nianze kujipigilia namimi
 
Nakapicha kako imekopost
hahahaha wasiokupenda humu itwacost.
 
Back
Top Bottom