Mwanangu mkorofi, anajikojolea kitandani

Mwanangu mkorofi, anajikojolea kitandani

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kma vilitaka fanana na vyako[emoji23][emoji23]
Jamani hakuna kiatu kinampendeza mwanaume kama Loafers jaman..yaan mnapend3za sana jaman hamjui tu..mimoka hii mm marufuku kbs
Duh[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
hata wewe mzaz unashida unahitaj msaada...Maelezo bila picha ya mtoto yangetosha..
Hii wanajamvi natumaini ni wazima wa afya.

Nina mtoto ana umri wa miaka 6, wa kiume ni kiboko kwa kukojoa kitandani yani hata kama nikimuamsha usiku bado atakojoa tu nimewaza hadi nikaona niandike hii thread lakini pia ni mtundu sana ukimwambia kitu dakika sekunde 30 anakuwa kasahau. Pia hata akifundishwa shuleni anavofika tu nyumbani anakuwa kasahau tayari ila art zake za mwandiko ni nzuri sana, ninaomba msaada wa hali na mali nifanyaje jamani, zamani nilkuwa namuadhibu lakini hadi sasa hivi nimepoa.Hi hali inanikera sana yani.

Lakini pia mchana anacheza sana na usiku analala fofo.View attachment 1188028View attachment 1188029
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mimi nakumbuka mara ya mwisho nilitoroka kwa mamdogo asubuhi ya saa 11 baada ya kukojoa kitandani. Aisee nilikimbia vibaya sana. Halafu nilikuwa darasa la tano sasa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mwaka 2007
 
akiacha kukojoa atakuwa na kumbukumbu.
La nyongeza asinywe chai ya rangi kabisa. Juisi za viwandani asinywe pia. maji asinywe usiku. la zaidi mdhibiti kucheza kupita kiasi.
 
Hii wanajamvi natumaini ni wazima wa afya.

Nina mtoto ana umri wa miaka 6, wa kiume ni kiboko kwa kukojoa kitandani yani hata kama nikimuamsha usiku bado atakojoa tu nimewaza hadi nikaona niandike hii thread lakini pia ni mtundu sana ukimwambia kitu dakika sekunde 30 anakuwa kasahau. Pia hata akifundishwa shuleni anavofika tu nyumbani anakuwa kasahau tayari ila art zake za mwandiko ni nzuri sana, ninaomba msaada wa hali na mali nifanyaje jamani, zamani nilkuwa namuadhibu lakini hadi sasa hivi nimepoa.Hi hali inanikera sana yani.

Lakini pia mchana anacheza sana na usiku analala fofo.View attachment 1188028View attachment 1188029
Umevunja sheria za watoto ungeficha sura au unafikiri mtoto akikuwa akiiona thread itakuwaje jinsi unavyomuanika
 
Back
Top Bottom