Mama yake yuko wapi jamani?Ila nimempenda mwenyewe kamfunga mwanae mgongoni natamani mume wangu aje kuwa kama huyu
Hata maRijali tuna huruma na utunzaji kwa familia.......Babawee!!Mama yake yuko wapi jamani?Ila nimempenda mwenyewe kamfunga mwanae mgongoni natamani mume wangu aje kuwa kama huyu
mbona nasikia wewe ndio mama wa huyo mtoto,au
Hata maRijali tuna huruma na utunzaji kwa familia.......Babawee!!
Haya bwana
umemuacha shemeji anaangaika mtaani na mtoto
Ili mradi tunapumua...