😁Mimi ? Achana na mimi kabisa bwashee , wewe jiuze ban yangu imekuaje 😅
Unatumiwa msg Au sioukipigwa ban huwa wanakutumia msg
nadhani hivyo
kwani leo kuna nini??
kula monde jombi acha ushamba 😂😅😅 kaa kiaskari bwashee
Inasikitisha sana mama labla 😂Baba labla hebu niache basi 😂😂
Bwashee umepigwa na visungura vyako😜
H orodha sijawah kuikubali wala kuielewa, hapa kuna upigaji hasa hapo kwenye guestItakuwa kwenye hao guests na hawa ndugu zetu wamo wanakula kwa macho tu 😁
View attachment 3632737
Inasikitisha sana bwashe 😂Bwashee acha unafki😜
Hivi unajuaje humu unapigwa ban bila sababu za msingi,? Mods mnaonaje mkishea sababu ya mdau kupigwa ban jukwaani?🤔
Mnapiga ban nyepesi mno bila kutoa sababu na maelezo yakinifu 🤔
Bwashee hali ya hewa sasa hivi imechafuka hapa JF,Bwashee , wewe ni mwanangu enzi na enzi ila kwa pombe najimudu kinoma