''Mwanangu, babako amekufa''

''Mwanangu, babako amekufa''

hakuna mtu ninaempenda kama wanangu.. ingawa siishi na wazazi wao lakini nahakikisha kile ninachokipata nagawana nao. lakini kwa wewe mleta mda umefanya kitu ambacho sidhani kama ni sahihi. Unakwenda kulia kanisani kwa sababu ya hawara? unamuweka Mungu katika kundi la kuwAonea huruma wanaokwenda kinyume na amri zake? Lakini siwezi kukuhukumu kwa kuwa najua umechanganyikiwa na hili.

SIMAMA IMARA NA UTAMBUE KUWA WAPO WANAWAKE WANAOTESEKA NA KUUMIZWA ZAIDI YAKO. USIKUBALI CHOZI LAKO LENYE THAMANI LIKUTOKE KWASABABU YA MTU ASIYETAMBUA THAMANI YAKO.
 
Una akili kuliko shule, umenigusa sana, halafu tunamlilia MUNGU uko wapi wakati hatuna hata ndoa, tunataka MUNGU aonekane kwenye Uzinzi wetu? Hahahaha hii ni joke.

Ok, Dada tubu na endelea na maisha yako, maadamu una kazi
Hii idea ya kumlilia Mungu kwenye ishu zetu za uzinzi mimi huwa nashangaa sana. Utasikia kauli kama "Mungu atanilipia kwa unyama ulionifanyia, umenichezea na kuniacha"!! Hivi huyu Mungu babu yenu khaaaa!!!!
 
Kwanza mshukuru Mungu unakazi kuna wengine wanapitia hayo na hawana kazi,
Uwezi jua Mungu kakuepusha ni nini juu ya huyo mwanaume pia Mungu karuhusu hili jaribu lipite kwako inawezekana anakuandaa kwa wakati usioujua kuja kuwatia moyo wengine cha muhimu muombe Mungu asema na wewe kuhusu mzazi mwenzio
Na mwache mtoto kama mtoto usimuingize kwenye tofauti zenu
 
Unaweza ukafanya mbwembwe zote hizo kisha baada ya miaka saba baba'ke akaja kumchukua mwanaye bila hata kelele

Hakuna kitu ka hicho,nishaanza process na mwanasheria wangu.
 
Hii idea ya kumlilia Mungu kwenye ishu zetu za uzinzi mimi huwa nashangaa sana. Utasikia kauli kama "Mungu atanilipia kwa unyama ulionifanyia, umenichezea na kuniacha"!! Hivi huyu Mungu babu yenu khaaaa!!!!
Nimecheka kwa huzuni sana ikabidi nikuzawadie huu wimbo wa Mchg. Abihudi Misholi unaitwa "Ni wewe MUNGU pekee" anasema yeye Abihudi angekuwa ndio MUNGU asingevumilia huu upuuzi, na mimi naungana na wewe kuwa sio vizuri kumfanya MUNGU kama Babu, ila MUNGU ni wa Pekee sana sana

Pole sana, shukuru una kazi yako, lea mwanao kama ulivyopanga wala usimuulize chchote na mtoto akikua ni wazi atakuwa na maswali anakuuliza kuhusu baba yake, Mueleze ukweli baba yupo ila yuko buzy na kazi atakuja, mtoto anaona kila kitu unachofanya na hata akifikisha miaka 18 anajua kila kitu kuwa baba alimtia mimba mama akamtelekeza nikahangaika na mama, bila hata kumjaza chuki yeye mwenyewe mtoto atamtia adabu baba yake, mfano mzuri Diamond na hata Qchief (Nimetoa mfano kwa watu maarufu mana wao ndo tunawajua historia zao na baba zao), Usimjaze mtoto chuki juu ya baba yake, mwache akue kwa furaha bila unyonge akidhani na yeye ana baba kama wenzie ila baba yake yuko buzy na kazi, akifika form 1 tu atakwambia mwenyewe, mama huyu baba kazidi ina maana kila siku yuko buzy, wewe mjibu atakuja tu kazi zikipungua hivi mtoto wa miaka 18 hatajua kilichofanyika?????? Leo mwanao kwenye misingi bora atakufaa mwenyewe, wanaume wako wengi kuwa makini kwa baadae utakapoamua kuingia tena kwenye mahusiano, na huyo atakae kuja kukuoa mwanao atamuita baba na maisha yataenda.
 
Safi. Futa machozi na unyanyuke. Hushindwi kumlisha mwanao na kumsomesha pia unaweza. Utashangaa tu amefika chuo kwa jitihada zako tu mwenyewe. Hakuna unachoshindwa nakwambia.
wanawake muda wa kulia umeisha. You are strong than you think!

Nimeamua kwa dhati ya moyo wangu kabisa,nitamlea mwanagu,naomba Mungu anipe umri mrefu na aniwezeshe katika hilo.Sitokaa nikamtafuta tena iwe mvua iwe jua.
Napenda kusema.....
Maisha haya yamekua mafupi sana skuizi.
Kubwa unalopaswa kulifanyia ni anza moja. Kua nama hakuna kilicho tokea, Jipende na ukule vizuri, vaa vizuri na uupende mwili wako, Rudi (mpende Mungu wako) katika ibada na fanya outing kila mara chache, Jiepushe na matumizi ya kileo chochote na makundi yasio faa hasa marafiki wabaya.
Jikubali na endelea na maisha kama kawaida, na kama Mungu akipenda wakwako atajilite na hauto mlilia kamwe.
 
Pole sana, shukuru una kazi yako, lea mwanao kama ulivyopanga wala usimuulize chchote na mtoto akikua ni wazi atakuwa na maswali anakuuliza kuhusu baba yake, Mueleze ukweli baba yupo ila yuko buzy na kazi atakuja, mtoto anaona kila kitu unachofanya na hata akifikisha miaka 18 anajua kila kitu kuwa baba alimtia mimba mama akamtelekeza nikahangaika na mama, bila hata kumjaza chuki yeye mwenyewe mtoto atamtia adabu baba yake, mfano mzuri Diamond na hata Qchief (Nimetoa mfano kwa watu maarufu mana wao ndo tunawajua historia zao na baba zao), Usimjaze mtoto chuki juu ya baba yake, mwache akue kwa furaha bila unyonge akidhani na yeye ana baba kama wenzie ila baba yake yuko buzy na kazi, akifika form 1 tu atakwambia mwenyewe, mama huyu baba kazidi ina maana kila siku yuko buzy, wewe mjibu atakuja tu kazi zikipungua hivi mtoto wa miaka 18 hatajua kilichofanyika?????? Leo mwanao kwenye misingi bora atakufaa mwenyewe, wanaume wako wengi kuwa makini kwa baadae utakapoamua kuingia tena kwenye mahusiano, na huyo atakae kuja kukuoa mwanao atamuita baba na maisha yataenda.
I second your opinion. Mleta mada, ukizingatia ushauri huu unaweza kuwa mwenye furaha sana maishani. The last thing you need now is hatred, chuki na kinyongo kwa mzazi mwenzako havitakupa ahueni.
 
mimi kama mwanamke ningempa mtoto ubini wa baba yangu mzazi ili hata mtoto akimtafuta kuna fine za kutosha tu atalipa.... pili nisingemfikira tena huyo mwanaume suruali kwa kweli.. pole focus kumlea mwanao unamwanaume jinga jinga
Nilijua tu utasema akimtaka mtoto alete hela
 
lea mwanao acha kutafuta huruma za watu.
nimekerwa na uzi wako kwamba kuzaa kwako ndo ulitegemea iwe gia ya kuchuma hela za huyo jamaa.
kuzaa sio ishu kama upendo hakuna.
 
I second your opinion. Mleta mada, ukizingatia ushauri huu unaweza kuwa mwenye furaha sana maishani. The last thing you need now is hatred, chuki na kinyongo kwa mzazi mwenzako havitakupa ahueni.
wakati mwingine huwa nakusoma katika jicho la tatu.. Najikuta natabasamu kutokana na ushauri wako. Wapo wanaoteseka na kuumia kuliko yeye na wanaishi katika Amani na Utulivu
 
hivi unafahamu umuhimu wa baba kweli hata kama mwanamke ni tajiri vipi hata ukinunua a piece of wipes means a lot, au hata baba anapofika nyumbani na kumbeba mwanae inaleta faraja.
Nafahamu umyhimu wake, ila unadhani ni uamuzi sahihi Wa kumdanganya motto? Kwanini asiende ustawi Wa jamiiii huko
 
lea mwanao acha kutafuta huruma za watu.
nimekerwa na uzi wako kwamba kuzaa kwako ndo ulitegemea iwe gia ya kuchuma hela za huyo jamaa.
kuzaa sio ishu kama upendo hakuna.
ungekuwa mwanamke kama ilivyo hiyo picha kwa avatar yako usingenena hayo.

lakini kwa kuwa sio ke na hujui shida ya kulea mimba na matunzo ya mtoto una haki ya kumuona mtoa mada anadhiki.

kuwa na mwanamke asiyetambua maumivu ya wanawake wenzake ni upuuzi uliyopitiliza. wanaume wote tungekuwa tunawaachia wake zetu watoto wale wenyewe bila msaada wetu, Unadhani hii dunia ingekaaje? Ondoa aibu yako na Ujitambue wewe ni nani
 
Kabla hujafungua miguu yako ilibidi ufungue akili yako kwanza sio unazaa tu kama chura halafu watoto wenu mnaanza kuwajaza chuki za kijinga......ujinga wenu ndio unatuletea product za ajabuajabu mitaani

#Mungu aliposema usizini na usishuhudie uwongo hakuwa mjinga
Dont judge someone just because they sin differently than YOU.
 
ungekuwa mwanamke kama ilivyo hiyo picha kwa avatar yako usingenena hayo.

lakini kwa kuwa sio ke na hujui shida ya kulea mimba na matunzo ya mtoto una haki ya kumuona mtoa mada anadhiki.

kuwa na mwanamke asiyetambua maumivu ya wanawake wenzake ni upuuzi uliyopitiliza. wanaume wote tungekuwa tunawaachia wake zetu watoto wale wenyewe bila msaada wetu, Unadhani hii dunia ingekaaje? Ondoa aibu yako na Ujitambue wewe ni nani
rudi nenda kwenye profile yangu mie ni mama tena wa watoto 4, kwenye ndoa mwaka wa 17 huu.
umesoma kwa hamaki post yangu read between lines.
hakuna mtu wa kumhurumia mwanamke isipokwa yeye mwenyewe, na ukombozi wa mwanamke utatoka mokononi mwake pekee.
binafsi siamini katika kulelewa mtoto na mwanaume asiyejitambua na soon umeshaona hilo no need of wasting your time na kuanza kulaumu as if yeye ndo hewa yako.
c'on aamke ajifunge kibwebwe alee mwanae na ninataka afute hayo mawazo mgando kichwan kwake kwamba alizaa ili huyu baba amsaidie kulea ilihali anajua kwamba huyu alikuwa hawara tu.

sina shida na mtoto kupatiwa matunzo na baba yake, lakin pia sitak mama aone kwamba hii ndo kiki ya yeye kupata hela za huyu hawara.

i always stand for strong and smart women, kama alivyoweza kubeba mimba akazaa basi aweze na kulee bila msaada, and you know what, the more strong she is the better kwa afya ya mwanae na yeye pia
 
Unaweza ukafanya mbwembwe zote hizo kisha baada ya miaka saba baba'ke akaja kumchukua mwanaye bila hata kelele
Hakuna kitu kama hicho labda kama wangekuwa wamefunga ndoa. Na pia kuna factors za kuzingatiwa ili baba amchukue mtoto. Ashindwe kumtunza tangu mchanga akifikisha miaka 7 ndio ataweza kumtunza? Huyo mwanaume ni fala kama mafala wengine wasiojali watoto wao. Hatampata mtoto bila mama yake kukubali. Hata aende The Hague!
 
rudi nenda kwenye profile yangu mie ni mama tena wa watoto 4, kwenye ndoa mwaka wa 17 huu.
umesoma kwa hamaki post yangu read between lines.
hakuna mtu wa kumhurumia mwanamke isipokwa yeye mwenyewe, na ukombozi wa mwanamke utatoka mokononi mwake pekee.
binafsi siamini katika kulelewa mtoto na mwanaume asiyejitambua na soon umeshaona hilo no need of wasting your time na kuanza kulaumu as if yeye ndo hewa yako.
c'on aamke ajifunge kibwebwe alee mwanae na ninataka afute hayo mawazo mgando kichwan kwake kwamba alizaa ili huyu baba amsaidie kulea ilihali anajua kwamba huyu alikuwa hawara tu.

sina shida na mtoto kupatiwa matunzo na baba yake, lakin pia sitak mama aone kwamba hii ndo kiki ya yeye kupata hela za huyu hawara.

i always stand for strong and smart women, kama alivyoweza kubeba mimba akazaa basi aweze na kulee bila msaada, and you know what, the more strong she is the better kwa afya ya mwanae na yeye pia
Lakini hata kama wewe ni mama hukupaswa kuyasema hayo. Nadhani ungeweza kuwa mwalimu bora kwake kwa kumuonyesha njia ambazo zingemsaidia kuliko kunena kitu kama kile. Wataka unambie hujawahi kukumbwa na suala kama hili na ukaomba msaada? Je ulijibiwa kama ulivyojibu hapa? huyu ni mgeni katika uzazi anahitaji kutiwa moyo na wazoefu kama nyie... ''""ULIBEBA MIMBA UKITEGEMEA UTACHUMA MALI sio kaulo nzuri kwa mtu unayejinasibu kuwepo katika ndoa kwa miongo miwili
 
Back
Top Bottom