''Mwanangu, babako amekufa''

''Mwanangu, babako amekufa''

kwanza pole mwanamke mwenzangu, pili jua hauko peke yako unae pitia hayo, tatu uamuzi uliochukua si mbaya kwa sasa maana unakubaliana na nne ya kwamba Mungu anakuepushia jambo huenda huyo baba angekuumiza zaidi huko mbeleni kuliko unavyoumia halafu usiwe hata na jinsi ya kusonga mbele tofauti na sasa.
 
Safi. Futa machozi na unyanyuke. Hushindwi kumlisha mwanao na kumsomesha pia unaweza. Utashangaa tu amefika chuo kwa jitihada zako tu mwenyewe. Hakuna unachoshindwa nakwambia.
wanawake muda wa kulia umeisha. You are strong than you think!


Thanks dear,atafika tena atasoma university za nje.kutoka sasa ni mimi na mwanangu,mimi ndo baba na mimi ndo mama.nilimbeba tumboni miezi 9,nikavumilia labor pains alone for 15 hours,nikamzaa,nimemlea since day one hadi leo hatonishinda.Mungu wangu aloruhusu nipitie haya atanisimamia nitaweza,ninaweza.Mungu amenipa mtoto huyu kwa sababu,sintamwangusha.haijalishi nimemchukua mimba katika hatia.
 
Pole ma dia.. Ila am sure huyo mwanaume atakuja ajirudi kipindi itakua too late...na atajuta nakuambia
 
Heheheh itakuwa huyo mwanaume unemuendekwza.

Ati matumizi hatoi halafu anapeleka kengele zake kwenye hotpot??? (Hata kama chakula ni mavi.i tu) mbona angekitapika akiache????

Anyway wanasema temvo hashindwi kubeba mkonga wake. Mwanao mwambienukweli kuwa baba yake hasaidii, hatoi matumizi (aka zigo la misumari) ila mwambienin such a way usije muumiza hisia zake.

As for huyo mwanaume mwambie nyumba yako aione paa tu asikuchoshe maisha mafupi
 
Nimeamua kwa dhati ya moyo wangu kabisa,nitamlea mwanagu,naomba Mungu anipe umri mrefu na aniwezeshe katika hilo.Sitokaa nikamtafuta tena iwe mvua iwe jua.
Inshallah mwenyezi mungu atakuwezesha,mtangulize sana mwenyezi mungu kwenye kila jambo lako...
 
Pole dear... This issue is very disturb and hurt kids most of the time.. I think umeuumia because you still love him and expected him to do More , but most of it at least to show a care for you and Baby.. At the end umeaambulia patupu from your expectations.. Dear don't cry or hurt yourself because of Him.. I do understanding unavyojisikia .... Inauma sana.. You probably feel as a failure or why you. Whatever the pain you have never feel regret because that baby came in this earth with reason , God appointed Him.. What I do advice you is : Move on with your life without baby Daddy.. Dont depend on Him 100% because you will get hurt and disapointment again.. Now ushajua who he is then try not to bother for him anymore.. Katika kumove on with your life dont tell your own son that his dad died , while He stills alive somewhere, thats not nice .. Since you go to church and read the Bible, pray for the healing and Erase those words by the Blood of Jesus , muaachie Mungu.. Lea mwanao Mama maana wewe ndio unauujua uchungu zaidi kuliko huyo Baby Daddy.. Focus on God and your son... Kazi yako ni kulea na ku show love to your son .. Akikua , akiuliza baba yake mwambie aliko if you will have information zake .. Kama hautazijua dont bother.. Dear ninachopendea boys , are always Mama's boy itachukua muda mmpaka yeye kukuuliza about his father.. Huyo Baby daddy akimmtaka mwanae mmpange wapi amuone mtoto .. To me I do advice you awe anakutana nae kwa Bibi mzaa Baba is better than kumuacha mwanao na huyo unknown step mother ... ( msichana wake ).. Akimaliza kuspend time nae kammchukue mwenyewe kwa bibi.. Epuka kuwa ukaribu na huyo Baby Daddy... Usiruhusu aje kwako hovyo hovyo , unless kama baby akiwa anaumwa sana .. Na wewe pia acha kwenda kwake, move on with your life and God will give the right man who will be the best husband and Father for your Son.. Good luck.. Thanks..
Sijui ukiwa unaongea na mtu unajisikiaje!
 
kwanza pole mwanamke mwenzangu, pili jua hauko peke yako unae pitia hayo, tatu uamuzi uliochukua si mbaya kwa sasa maana unakubaliana na nne ya kwamba Mungu anakuepushia jambo huenda huyo baba angekuumiza zaidi huko mbeleni kuliko unavyoumia halafu usiwe hata na jinsi ya kusonga mbele tofauti na sasa.


Asante sana,najipa moyo naliweza hili,mwana wa viuno vyangu hawezi nishinda.
 
Nakumbuka niliwahi kuanzisha mahusiano na mdada akiwa na mtoto wa umri wa miezi 4. Yele mtoto nilimpenda sana hata nikawa namfanyia shopping kuzidi hata wanangu nilio wazaa, na hii ilimfanya hata mama wa mtoto kuanza kuona wivu flani kwamba nampenda mtoto wake kuliko ninavyo mpenda yeye.
Kimsingi nimekua na mtazamo na nimekua nikisistiza sana kwamba hata tunapo tofautiana tujaribu kuto waingiza watoto kwenye tofauti zetu.
Watoto hawazaliwi ili wateseke na hawapaswi kujua tofauti wala hisia za mikwaruzano kati wa wazazi wao. Hata kama inapotokea tofauti kati ya wazazi, kuna umuhimu wa kujaribu kuyadicha hata watoto wasiju.
Wanangu wana raha sana, na kwahili ninasema, asante Mungu kwa kuniondolea kibanzi jichoni aiseee.....
Ni kweli kabisa mkuu
 
mimi kama mwanamke ningempa mtoto ubini wa baba yangu mzazi ili hata mtoto akimtafuta kuna fine za kutosha tu atalipa.... pili nisingemfikira tena huyo mwanaume suruali kwa kweli.. pole focus kumlea mwanao unamwanaume jinga jinga
 
Kabla hujafungua miguu yako ilibidi ufungue akili yako kwanza sio unazaa tu kama chura halafu watoto wenu mnaanza kuwajaza chuki za kijinga......ujinga wenu ndio unatuletea product za ajabuajabu mitaani

#Mungu aliposema usizini na usishuhudie uwongo hakuwa mjinga
 
Asante sana,najipa moyo naliweza hili,mwana wa viuno vyangu hawezi nishinda.

Kamwe huwezi kushindwa, if you need someone to talk tu aliyepitia hayo unayopitia karibu sana, niko tayari kushare experience yangu na wewe. Ki ufupi sasa nina furaha (the joy of the Lord) na amani
 
mimi kama mwanamke ningempa mtoto ubini wa baba yangu mzazi ili hata mtoto akimtafuta kuna fine za kutosha tu atalipa.... pili nisingemfikira tena huyo mwanaume suruali kwa kweli.. pole focus kumlea mwanao unamwanaume jinga jinga

Nimetaka kufanya hivyo,nimeulizia rita nikaambiwa ni process ndefu,kwani nilisha process cheti chake cha kuzaliwa.
 
Wanawake wengine sijui akili mnaziweka wapi? We huna uwezo Wa kumlea mtoto mwenyewe paka uanze kumfundisha mtoto tabia mbaya?
Lea mwanao kwa amaani tuu, acha kujiumiza kichwa kutaka matumiz kutoka kwa baba yake.
Labda unataka mengine.
Unaenda kanisani kusali alafu unadanganya kiasi hicho? Kwamba baba kafa...subiri akue mtoto mueleze ukweli wake.

Kamuulize pasta wako juu ya Huo uwamuzi wako kama ni sahihi
hivi unafahamu umuhimu wa baba kweli hata kama mwanamke ni tajiri vipi hata ukinunua a piece of wipes means a lot, au hata baba anapofika nyumbani na kumbeba mwanae inaleta faraja.
 
Kabla hujatanua miguu yako ilibidi ufungue akili kwanza sio mnazaa tu kama vyura halafu mnatuletea product za ajabu mitaani kwa kuzikuza na chuki mioyoni mwao sababu kuu ikiwa ni tamaa zako za mwili

Mungu aliposema usizini na usiseme uwongo hakuwa mjinga


Kimtokacho mtu kimeujaza moyo wake,pole ndio ulivyolelewa.wapi niliposema nitamjaza mtoto chuki?please onyesha kwenye bandiko langu niliposema hayo.
 
Kama ni mimi,nina kazi yangu na uwezo wa kumlea mwanangu ninao,nisinge hangaika na huyo mwanaume mana ni pasua kichwa

Yani nisingetaka stress zake kabisa,furaha yangu ningeelekeza kwa mwanangu, ningehakikisha nampatia malezi bora kadri niwezavyo

Ila tu akihitaji kumwona mwanae sitamnyima,lakini kumtegemea kwa chochote nisingetaka. Yani kumruhusu asumbue moyo wangu nisingempa hiyo nafasi kabisa
 
Unaweza ukafanya mbwembwe zote hizo kisha baada ya miaka saba baba'ke akaja kumchukua mwanaye bila hata kelele
 
Amen! Siamini Mungu amenipa huyu mtoto ili aniadhibu,watoto ni zawadi toka kwa Mungu.wangapi wanalia hawapati hata wa dawa?
Apana amekupa mtoto ili na wewe uwe mama na uonyesha ushujaa wako kwake,na kumbuka mrembo mitihani ameumbiwa binadamu,kuna wengine wana watoto na kazi hawana wewe Alhamdulillah kazi unayo zidi kumuomba mwenyezi mungu akupe umri mrefu na afya njema umpe mapenzi na malezi mema mtoto,na unapokua na mtoto nyumbani Nakuapia huto lala njaa,na furaha yako ipo hapo kwa mtoto mie nnapokua na matatizo nikiwangalia my kids furaha inarudi hupenda kuamka usiku kwenda kuwatazama chumbani kwao wakiwa wamelala hua na furaha mpaka machozi yananitoka na muomba mwenyezi mungu anikuzie,na inshallah atakua uje umuone aki pokea SHAHADA yake na imargine tears in your eyes...lol
 
Back
Top Bottom