Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 15,595
- 22,484
Halafu hata wenye nia ya kukudhamini, wakisikia 'kubaka', basi hupotezea.Kila mtu anatakiwa kujua ya kwamba kutembea na mwanafunzi kisheria ni ubakaji na sasa hivi nimeona mahakama zetu hazina mzahaa hata kidogo kwenye kosa hili ni watu wanafungwa miaka 30 fasta sana halafu kesi za hii issue zinachukua muda mfupi sana. Mimi namwogopa mwanafunzi kuliko nyoka!
32 ya kujimwambafayi ukipewa na 30 ya jela bado upelelezi na mahabusu unaweza toka jela na 65 aisè,babu kabisa.Mtu mzima wa miaka 32 anajimwambafy kupendwa na mtoto![emoji44]
Huu ni utopolo,na umesoma mpaka mwisho na bado ukachangia mada dah!Miaka 32 unaandika utopolo kama huu bro?
Anyway utalii ushafunguliwa utarudi kazini soon.
Niachane na nani mkuu?achana nae huyo atakupa kesi
Wabakaji wananyanyapaliwa![emoji16]Halafu hata wenye nia ya kukudhamini, wakisikia 'kubaka', basi hupotezea.
Hizo kesi ni kichefuchefu sana, zina aibu flani kama mtu aliyekaa mtupu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namba za nani?
huyo demu wako mwanafunziNiachane na nani mkuu?
Hukuona kama ni hadithi ya kusadikika?huyo demu wako mwanafunzi
Hata miaka nayo ni ya kusadikika,tatizo hamsomi bandiko mkaelewa.Umezingua Sana sio kwa miaka yako 32 , kutuletea UPUUZI Kama huo
Hata nyundo 30 pia zipo mkuu.Japo kusadikika, lakini matukio kama hayo yapo sana uswahilini kwetu.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo mama ndio anataka aliwe kimasikhara yaani ukishamlamba tu huyo mtoto mama naye anapita mule mule so utabaki njia panda umlambe ma mkwe au mvua 30 zikunyesheeSasa unataka tukakushikie miguu? Ukisubiria embe liive wenzako wanalila kwa chumvi
Sent using Jamii Forums mobile app