Holly Rich
JF-Expert Member
- Nov 1, 2018
- 901
- 1,429
Duu mkuu iweke basi kinamba tupate formula kamili...🤣🤣🤣🤣"A woman’s capacity to bond monogamously is inversely proportionate to the number of sexual partners she’s experienced prior to monogamy. Even one prior lover (or even unrequited obsession of hers) can be Alpha enough to upset that bonded monogamous balance." - Book 3, RM
Mwanamke ni kiumbe anayetawaliwa na hisia. Wewe chapa mkeo kila aina ya style, mpe mamilioni au hata bilioni sawa tu ni jukumu lako as mume. Lakini siku akionana na mwanamme anayemrusha roho au kumpandisha damu kichwani haraka....tambua atagawa tu uroda si kwa sababu hakupendi wewe bali hisia zake zinamtuma ashughulikiwe na yule aliyevutiwa naye. Kupigiwa mwanamke nje ya ndoa ni jambo la kawaida sana, usijipe presha, Usikute hata wewe mwenyewe baba uliye naye si wako una baba yako halali huko nje ila Mama yako anakuficha tu.Wakuu,
Suala la wanaume kupigiwa wake zao limetia fora sana.
Case zimekua nyingi kiasi cha kuwatisha hata wale ambao hawajaoa kuogopa kuoa.
Wapo wanaume wanapiga show ya maana kwa wake zao, wanatoa matumizi yote kwa kwa wake zao.. Yaani wanawapa wake zao everything lakini bado wanapigiwa wake zao.
Je kuna mbinu ya kuzuia mwanamume asipigiwe mkewe kabisa?
Tiririka tujifunze
Na washirika wakubwa wa shetani ni hawa hawa, na hawa hawa ndiyo waliyo muua Mohammed kwa sumu...hivyo tusiwashangae sana bali tuishi nao tu kwa kutumia akili (jicho moja wazi moja limelala muda wote)Kiumbe pekee kilichoongea na NYOKA,
How does it start mume kupigwa na mkewe?Wakuu,
Suala la wanaume kupigiwa wake zao limetia fora sana.
Case zimekua nyingi kiasi cha kuwatisha hata wale ambao hawajaoa kuogopa kuoa.
Wapo wanaume wanapiga show ya maana kwa wake zao, wanatoa matumizi yote kwa kwa wake zao.. Yaani wanawapa wake zao everything lakini bado wanapigiwa wake zao.
Je kuna mbinu ya kuzuia mwanamume asipigiwe mkewe kabisa?
Tiririka tujifunze
Funguka hili ni jukwaa la uwazi na ukweli 2021 has just loaded with a single barZamani nilikuwa siamini kabisa kama mke wa mtu anaweza kuwa na Mwanaume mwingine!
Mpaka pale nilipokutana nao maeneo ya kazi Wengine hawana hiyana anakwambia kabisa anaye hawara yake wa kudumu ukiachilia mbali wa mpito !
Na anakwambia kabisa mwingine yeye hata bure sawa ila mwingine anakwambia siliwi kwa laki mimi!
Yani kuna siri kubwa tukiziandika humu wengine mtaanza kuwashika wake zenu ugoni!
Hii ndio solusheni pekeeAtembee na nyeti za mkewe(zote mbili)
Hizi ndizo sababu ambazo zinafanya watu wanatombewa wake zaoMpende sana
Kuwa muwazi kwake
Mfanye rafiki yako wa ukweli
Mpe muda wako
Na usimsaliti
Ndiyo Ukweli WenyeweHao walio oa bikra ndo wanachapiwa hatari. Wanawake hawajawai kueleweka kaka.
Au nasema uongo ndugu zangu??
Yeees...kukinai ni chanzo kingine cha usalitiTatizo hua linakuja , kila siku kula ubwabwa na maharagwe pasipo kubadilisha
Siku zingine utampa mb o o kubwa atagongwa na kiba100 ili tu ajue ladha yao huwa ikoje.utampa pesa, atagongwa na mwenye mb oo kubwa
utampa mboo, atagongwa na mwenye pesa
utampa mb oo kubwa na pesa, atagongwa na msafisha kucha