Mwanamme mbahili pia mchoyo

Hebu muulize siku ya kwanza kuvua chupi alipewa hela au alikuwa ameshapewa vihela hela ndo akavua, maana kama uliamua kumuvulia chupi mwanaume hata hujakula hela yake yoyote usitegemee baadae atakupa hela, tayari atakuchukulia kiurahsi sana. Sawa hauuzi lakini anatakiwa akujali maana kama hata nauli hakupi kwanza kwanini asikupeleke na gari yake mpaka kwako, huyo atakuwa mme wa mtu anakutumia kama chombo cha starehe kwa taarifa yako anampenda na kumuheshimu mke wake hataki mke wake ajue anacheat. kuna mapenzi ambayo huwa ni just for fun hayana future yaani mnafanya kama sehemu ya mazoezi ili kuchangamsha mwili na kuondoa stress za maisha ndo unatakiwa umchukulie hivyo huyo sio mpenzi wako, inawezekana hata kuwasiliana mnawasiliana siku anataka k yako baada ya hapo no communication
 
team money mongers, hivi huwa hampati hamu ya kugegedwa tu mpenzi wako, au nyege zenu ni mpka uone wallet ilojaa wekundu.
 
wewe una miaka mingapi? mbona unayoyasema ya ajabu...nina wasiwasi na uelewa wako!!!

unadhani hata wadogo kiumri, ni wasomi wazuri tu waliofaulu na GPA>4.5, lakini ndo hivyo,wamekaa kibiashara ashara tu, yaani utakuta mtu anadharirishwa na mwanaume kisa tu huwa anahongwa hela, ninao mashosti wawili hapa ofisini yaani hata sielewi kwa kweli, maongezi yao 24/7 ni kuchuna, umbea nk, basi utakuta mtu anabadilisha mabwana kisa anataka kuhongwa, sijui ndo wanaita kujaliwa.
 
Smile kila wakati unaniwahi kutoa jibu.

Ila we dada jiulize tu:

Hasara yake hasara yako?

Kwa nini usiamue tu kumnyima?

Hakika sitapata cancer kwa kutosafisha kwa siku mbli au tatu , nataka nimpe karaha aone radha ya uchafu na kibuti juu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Ni wakawake wachache wenye akili kama ya kwako maana wengi hufikiri wanaume ni ATM au vyovyote vile. Kiukweli umetisha sana katika comment yako.
 
Mkuu KOKUTONA Nakushauri usipende sana kuingia ndani ya jukwaa hili lenye mijadala ya BIASHARA ya NGONO! Tamaa si nzuri
 
Last edited by a moderator:

Labda hii inawork kwenu maponjoro, ila kwa mswahili kama mie nitaenjoy zaidi kama mume/mchumba/bwana aknihudumia kwa vitu vidogovidogo wala asitumie pesa nyingi. Just vocha, naulinauli hivi, anisaidie nimeintain uzuri & utamu wangu :frusty:
 
Mkuu KOKUTONA Nakushauri usipende sana kuingia ndani ya jukwaa hili lenye mijadala ya BIASHARA ya NGONO! Tamaa si nzuri

Sijajua kwanini umeniambia hivyo au kunipa ushauri huo. Na sikuwahi kujua kama jukwaa hili kuna bishara ya ngono. What i know mambo yanayoandikwa kwenye post hizi yanatokea katika maisha yetu na vile vile kwa kusoma post za watu ni vingi una gain na i always take vile vinavyojenga na si kubomoa.

By the way...sina tamaa sababu najitafutia mwenyewe na sina hulka ya kumtegemea mtu au kutamani kilicho juu ya uwezo wangu..

Thanks for your advice though
 
Kama shostito ulikuwa hujui kuwa wanaume wa siku hizi ni wabahiri na wachoyo waliopindukia ndo ujue leo hawana lolote si chochote ni bor akuachana nao kabisa ujisepe kimpango wako kivyakovyako
 
Kama shostito ulikuwa hujui kuwa wanaume wa siku hizi ni wabahiri na wachoyo waliopindukia ndo ujue leo hawana lolote si chochote ni bor akuachana nao kabisa ujisepe kimpango wako kivyakovyako

mweh! utaweza kimpango wako kivyakovyako, nani atakukuna papuchi yako? mtatutafuta tu!
 

yeye kamuona mzuri bila saloon sasa ampe hela ya nini. Mambo ya kusimuliana haya ooh bwana wangu ananipa hiki mara rafikiyo kabebwa.
 
Unapodai kama ulizikopesha au kama umeuza bidhaa ndio unakuwa umeonyesha tabia yako wewe ni nani... Ndio maana pesa yenyewe anapewa siku ya game tuu, hashangai??? Ukideserve lazima mwanaume awajibike trust me.

Well said
 
Trust me ukiwa humuhudumii mchumba or girlfriend, itakula kwako lazima utakuwa na mwenza carering man! na kama hutumii kinga wenzako watakupandisha kwenye nguzo ya umeme. think twice baby
dah!umeona ee,,ntakaaje na hlo tu ambalo halihudumii,,lazma ajue kwamba kuna mwenzie anaemsaidia hayo majukumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…