Mwanamme mbahili pia mchoyo


teh teh!!!!! si umesoma uzi jamaa hatoi hata hela ya nauli ye anajua kulipia chumba apate papucci ,,,,, ndoa hapo hakuna na hata ikifungwa lazima ivunjike!!!!!!
nta mp nimpe somo cku akienda kugegedwa ampagawishe jamaa mpaka ampoze na ka vits
!!!!!!!
 

Kutoa hela ndio kujali?
 

Habari ya siku nyingi?
 

Wapo wanaume wa aina hiyo, kwa sababu ameshamjua ni bahili, basi anapokuwa anahitaji mkwanja awe anasema. Akisubiri mpaka ampe mwenyewe itakula kwake.

Kama mwanaume hamuhudumii kwa lolote, K inahusikaje?
 
Women...whoever 'logad' u!???

You are not my wife, you do not get a cent from me..PERIOD!

Ukitaka na wewe nibanie vya kwako....

Yule shombe shombe kule bahari ya hindi Tanga hata urojo ulkuwa humnunulii?

Na yule mwanae vi ice cream ice, ice cream nini.

By the way uko powa?
 

anafanya chenye faida ya moja kwa moja kwake tu...
 
Mapenzi sio mtaji! Jamaa yuko sawa saaana,huyo manzi ndo kabugi! Kwann ajiachie mapema ivooo kabla ya kuusoma mchezo...
 
teh badala angempima jamaa kama anampenda kwa kumnyima papuchi!yeye anampima kwa pesa!

Kwani unapimaje kwa kumnyima papuchi? Result zinakuwaje na ina maana gani?
 

Aanze yeye kumpatia vitu kama hivyo aone kama hatazidishiwa mara mbili zaidi ya anachotoa.
 
Yule shombe shombe kule bahari ya hindi Tanga hata urojo ulkuwa humnunulii?

Na yule mwanae vi ice cream ice, ice cream nini.

By the way uko powa?
KOKUTONA...I am fine dear sijui ww.

I will pay for everything hata kama ni ww nmekutoa out. I am the man...but giving u cash ndipo nnapoona shida. Ila sometimes mbona tunatoa...
 
Last edited by a moderator:
mi naona amchukulie hivo hivo ..maisha si pesa tu. kwani swala la mwanaume kukupa hela linabeba maksi ngapi katika mia
kama sifa zingine anazo na ana asilimia at least 60 bebana nae tu

Hayajakukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…