Mwanamke wangu hataki nione nyeti zake

Mwanamke wangu hataki nione nyeti zake

Watanzania na haswa vijana wanashindwa kuleta maada nzuri ya kimaendeleo, muda wote wanafikiria mambo ya ngono tu, vijana tumieni muda mwingi kupata maarifa mapya ili kuondokana na umaskini.
Usiingie MMU kashinde majukwaa mengine huko kama ya Siasa nk
 
Habari wadau?

Jambo hilo linanipa mawazo sana, je sababu ni nini? Mwanzo nilidhani labda ni aibu ya upya hajanizoea, ila ni mwezi wa tatu huu tangu tuanze mapenzi na huwa tunasex mara mbili kwa wiki anakuja Jumamosi home na anakuja na Jumatano.

Du, miezi mitatu, ngono mara mbili kwa wiki. Kwa hiyo unajamiiana nae mara nane kwa mwezi na mpaka sasa umezini nae mara 24.
Ukitimiza nae mwaka na ukienda na ratiba hiyohiyo utakuwa umezini nae mara 96.

Hapo unaposema suala hilo linakupa mawazo, kuna ulazima gani wa kuona nyeti za mwenzio?? Unataka kuzilinganisha na za nani??
 
Watanzania na haswa vijana wanashindwa kuleta maada nzuri ya kimaendeleo, muda wote wanafikiria mambo ya ngono tu, vijana tumieni muda mwingi kupata maarifa mapya ili kuondokana na umaskini.
Mkuu hili ni jukwaa la mapenzi na ulafiki,kama unahisi unakereka usiingie jukwaa hili.mbona kuna majukwaa mengi humu jf
 
Nyuchi si zinaonana wakati wa mgegedo? Au mpaka na macho yako yaone??
 
Back
Top Bottom