Mwanamke wangu hataki nione nyeti zake

Mwanamke wangu hataki nione nyeti zake

Sasa.......
Weulitaka aandike habari ya kilimo..[emoji15] [emoji15]
Hili ni jukwaa na mambo kama haya.
Ukitaka maendeleo, tafadhali pita vile.... kisha ukate kona kuelekea kushoto..... mbele yako utaona milango miwili, kisha ingia humo utakutana na majukwaa unayo yataka
[emoji1] [emoji3] [emoji2] weee toshaa maelezo
 
Hautaki kumwaga mchele,,,,wapo wengi wataka jua hizo mabadiliko
Basi Kwa kuwa utaki kuja pm..!Nakupa homework ya kuulizia kwa aunt zako na wakubwa zako wa kike..Mtu aliyekeketwa kimaumbile anakuaje.
MAJIBU UTAKAYOPEWA ndo ayo ambayo unataka nikujibie HAPA..tchaoo!
 
Basi Kwa kuwa utaki kuja pm..!Nakupa homework ya kuulizia kwa aunt zako na wakubwa zako wa kike..Mtu aliyekeketwa kimaumbile anakuaje.
MAJIBU UTAKAYOPEWA ndo ayo ambayo unataka nikujibie HAPA..tchaoo!
[emoji23] [emoji23] sasa Mkuu km hawajawahi ona hao wa2 watajibu nini...!
Ata my Dada Papy hajui hayo ...
Cc Paprika
 
Habari wadau?

Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza ndivyo ilivyo hivyo kama mjuavyo mimi sijaoa na wala sina mchumba, ila nina mpenzi.

Sasa mpenzi wangu huyu mpya ananishangaza sana, tukiwa faragha mimi huwa sio mtu wa kujifichaficha, huwa najiachia tu kama nilivyozaliwa siogopi wala kuona aibu maana tunakuwa wawili na tunafanya tendo la uzinzi(dhambi).

Ila yeye sijawahi kumuona uchi wake kiukweli, kwanza hapendi tuonane mchana na usiku anataka nizime taa.

Nashindwa kuelewa sababu ni nini? Akilala kwangu asubuhi anavaa chupi akiwa kajifunika shuka, kifupi anajiziba ili nisione nyeti zake.

Jambo hilo linanipa mawazo sana, je sababu ni nini? Mwanzo nilidhani labda ni aibu ya upya hajanizoea, ila ni mwezi wa tatu huu tangu tuanze mapenzi na huwa tunasex mara mbili kwa wiki anakuja Jumamosi home na anakuja na Jumatano.

Kwa hivyo kama ni kunizoea basi kanizoea sana na viutani vya kutosha vipo sana ila suala la kuona uchi hapo kwake ni pagumu, sasa ningetaka kujua hivi inaweza ikasababishwa na nini hiyo kitu.
uchi wake unautaka wa kazi gani?
 
Back
Top Bottom