Mwanamke wangu hajui kupika wali

Mwanamke wangu hajui kupika wali

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
486
Reaction score
2,069
Kuna msichana wangu anasoma mwaka wa pili hapo CBE.

Nimemualika aje ghetto,pamoja na mambo mengine nikamka jiko anipikie wali na nyama.

Aise wali haujulikani ni wali au ugali mboga ina chumvi halafu mwenyewe anajisifia eti chakula kitamu.

Nawaza leo atapika nini kama tu wali umemshinda.
 
Dhumuni lilikuwa ni kupata mpishi au👉👌 ?
1000055408.jpg
 
Kuna kamsichana kangu kanasoma mwaka wa pili hapo cbe.
Nimekaalika kaje ghetto,pamoja na mambo mengine nikakakabidhi jiko kanipikie wali na nyama.
Aise wali haujulikani ni wali au ugali mboga ina chumvi halafu kenyewe kanajisifia eti chakula kitamu.
Nawaza leo katapika nini haka kamsichana kangu kama tu wali umekashinda.
Vipi kuhusu kukatika
 
Kwahiyo mboga haikutakiwa kua na chumvi?
 
Kuna kamsichana kangu kanasoma mwaka wa pili hapo cbe.
Nimekaalika kaje ghetto,pamoja na mambo mengine nikakakabidhi jiko kanipikie wali na nyama.
Aise wali haujulikani ni wali au ugali mboga ina chumvi halafu kenyewe kanajisifia eti chakula kitamu.
Nawaza leo katapika nini haka kamsichana kangu kama tu wali umekashinda.
Mfundishe
 
Back
Top Bottom