Mwanamke wangu hajui kupika wali

Mwanamke wangu hajui kupika wali

Asilimia kubwa ya videmu vya chuo havina utundu, kinachowabeba ni mavazi na labda uzuri wao na tamaa zetu wanaume.

Ila kwa bed wengi ni 0, si ajabu hata huo utundu kidogo kaujulia hapohapo chuo.
Ulitaka utundu akaupatie wapi mkuu?
 
Kama kipochi manyoya kimekaa fresh hio inatosha....huyo sio mkeo na hujamuoa
 
Kuna msichana wangu anasoma mwaka wa pili hapo CBE.

Nimemualika aje ghetto,pamoja na mambo mengine nikamka jiko anipikie wali na nyama.

Aise wali haujulikani ni wali au ugali mboga ina chumvi halafu mwenyewe anajisifia eti chakula kitamu.

Nawaza leo atapika nini kama tu wali umemshinda.
ungemwambia leo unamfanyia surprise then agiza msosi wa kfc ili kuepusha tumbo lako na balaa!
 
Back
Top Bottom