Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,745
mkuu we ndo unakaa iyo nyumba yenye geti jeupe??😂 mkeo si haba
Ewa, chabo. Najione vinavyofichwa bila tabu.😋😀😀Ukapige chabo
Ni jina tu kama yanavyopachikwa menginehivi kuna uhusiano gani kati ya uongo na chai? 🤣 , kwa nini mtu ukihisi umedanganywa unasema ni chai?
Wewe kila mada inayoletwa hapa JamiiForums ni kuikosoa tu na kusema ilikuwa haina umuhimu wa kuileta hapa mngemalizana huko huko.Umeshindwa kuhoji mtu unaeshare nae viungo vya uzazi ukapata majibu...
Unapouliza huku uzi wako unaonekana ni [emoji116][emoji116]
View attachment 2794604
Wewe kila mada inayoletwa hapa JamiiForums ni kuikosoa tu na kusema ilikuwa haina umuhimu wa kuileta hapa mngemalizana huko huko.
Kama hii forum ni ya kazi gani kana hautaki users walete contents humu.
Ebu nenda kasome terms and conditions za JamiiForums ujue jinsi inavyojiendesha. Sio kila mada ni kuikosoa na kuicrush tu, kama kitu unaona hauna interest nacho kiache kikupite madam
Hujaoga hpo bali umerashiaMnawaza uchawi tu
Kuoga nje kajisikia haswa kama mnashare Vyoo
Mimi wakati mwingine huwa napata kinyaa unakuta navizia watu wamelala naoga nnje
Au wakati mwingine uvivu wa kutoa maji nnje then nipeleke chooni
Na Kama nimeoga nnje siwezi kuanzA kujisugua ni chapu tu kwa haraka
So sio kila kitu ni ushirikina
tatzo ana stress za kuachika mtu kaachka mara 5 unategemea atakuwa sawa huyo ksaikolojia n kchaa mtarajiwa.Wewe kila mada inayoletwa hapa JamiiForums ni kuikosoa tu na kusema ilikuwa haina umuhimu wa kuileta hapa mngemalizana huko huko.
Sasa hii forum ni ya kazi gani kama hautaki users walete contents humu.
Ebu nenda kasome terms and conditions za JamiiForums ujue jinsi inavyojiendesha. Sio kila mada ni kuikosoa na kuicrush tu, kama kitu unaona hauna interest nacho kiache kikupite madam
JamiiForums ni users generated contents, sasa unapozuia users wasilete contents huku huoni kama unavunja hizo termsIlikuwa kidogo nikubaliane na wewe ila uliponikosea ni hapo ulipoandika KILA...ambapo sio kweli KILA mada naikosoa
Nwei,kwenye hizo terms na conditions za JF zimeandika mtu hatakiwi kukosoa?
JamiiForums ni users generated contents, sasa unapozuia users wasilete contents huku huoni kama unavunja hizo terms
Sawa na neno lako lisivunje sheriaNeno langu sio sheria
Hakuna nilipovunja sheriaSawa na neno lako lisivunje sheria
Wakuu mmebarikiwa sana.
Juzi mke wangu amefanya tukio lililonishangaza kwani hajawaifanya alichokifanya muda wote nilioishi naye. Tunaishi kwenye nyumba ya kupanga ndan ya geti tupo wapangaji wawili na mwenye nyumba maana yake nyumba kubwa ya mwenye nyumba na familia yake na vyumba vya nje vya wapangaji ila wote tunatumia geti moja.
Siku iyo mwanamke wng alichelewa sana kuoga akawa anajizungusha tu ilipofka saa sita usku ndo akatoka kuoga cha ajabu nikawa naskia kama mtu anaogea nje skutilia maanani kwamba n yeye maana naamin hawez ogea nje wakati bafu lipo na taa zpo umeme upo.
Aliporud ndan nikamuuliza kwanini unaogea nje kwa kweli hakunipa majibu yanayoeleweka ila niliwaza sana je mwenye nyumba na mpangaji mwenzetu hawakuskia mtu anaoga nje na kama wameskia watatafsiri vp?
Uyu mwanamke amekuwa na wivu sn nahisi kadanganywa na marafk wamempa madawa aoge usku ili aniweke kiganjan au nimskilize yeye tu hz n hisia zng je wadau mnasemaje?