Mwanamke wangu ameoga nje usiku watu wamelala

Wakuu mmebarikiwa sana.

Juzi mke wangu amefanya tukio lililonishangaza kwani hajawaifanya alichokifanya muda wote nilioishi naye. Tunaishi kwenye nyumba ya kupanga ndan ya geti tupo wapangaji wawili na mwenye nyumba maana yake nyumba kubwa ya mwenye nyumba na familia yake na vyumba vya nje vya wapangaji ila wote tunatumia geti moja.

Siku iyo mwanamke wng alichelewa sana kuoga akawa anajizungusha tu ilipofka saa sita usku ndo akatoka kuoga cha ajabu nikawa naskia kama mtu anaogea nje skutilia maanani kwamba n yeye maana naamin hawez ogea nje wakati bafu lipo na taa zpo umeme upo.

Aliporud ndan nikamuuliza kwanini unaogea nje kwa kweli hakunipa majibu yanayoeleweka ila niliwaza sana je mwenye nyumba na mpangaji mwenzetu hawakuskia mtu anaoga nje na kama wameskia watatafsiri vp?

Uyu mwanamke amekuwa na wivu sn nahisi kadanganywa na marafk wamempa madawa aoge usku ili aniweke kiganjan au nimskilize yeye tu hz n hisia zng je wadau mnasemaje?
Yaani hii inaonesha ni kiasi Gani ulivyomchoka huyo mke wako, kwenda kuogea nje akipigwa chabo Wala huwazii unachowazia ni kukuroga wewe tu au ndio akili za mswahili
 
kama bdo unaishi kwa mume wa dada yako unadhan unaweza yajua mambo ya ndoa ww kua uyaone mi mpk namuwazia hivyo nimeona mengi.
 
Na bahati yake mimi sio jirani yake, ningemchungulia tu mkewe...au nitoke nisimame mlangoni nimuangalie mpaka anamaliza kuoga.
hata ungetaka enda mnyoa vuzi n wewe tu nyie wavulana ndo mnahangaika kuchunga wanawake mnasahau mtu mzma hachungwi akiamua kugawa atagawa tu.
 
Wakuu mmebarikiwa sana.

Juzi mke wangu amefanya tukio lililonishangaza kwani hajawaifanya alichokifanya muda wote nilioishi naye. Tunaishi kwenye nyumba ya kupanga ndan ya geti tupo wapangaji wawili na mwenye nyumba maana yake nyumba kubwa ya mwenye nyumba na familia yake na vyumba vya nje vya wapangaji ila wote tunatumia geti moja.

Siku iyo mwanamke wng alichelewa sana kuoga akawa anajizungusha tu ilipofka saa sita usku ndo akatoka kuoga cha ajabu nikawa naskia kama mtu anaogea nje skutilia maanani kwamba n yeye maana naamin hawez ogea nje wakati bafu lipo na taa zpo umeme upo.

Aliporud ndan nikamuuliza kwanini unaogea nje kwa kweli hakunipa majibu yanayoeleweka ila niliwaza sana je mwenye nyumba na mpangaji mwenzetu hawakuskia mtu anaoga nje na kama wameskia watatafsiri vp?

Uyu mwanamke amekuwa na wivu sn nahisi kadanganywa na marafk wamempa madawa aoge usku ili aniweke kiganjan au nimskilize yeye tu hz n hisia zng je wadau mnasemaje?
Hizo hisia zako mweleze mkeo halafu utupe mrejesho kakujibu Nini
 
kama bdo unaishi kwa mume wa dada yako unadhan unaweza yajua mambo ya ndoa ww kua uyaone mi mpk namuwazia hivyo nimeona mengi.
Sawa umeona mengi Na tuliosoma Cuba tushaelewa nini unachomaanisha, wacha nikakojoe nikalale shemeji asije nifungia mlango[emoji56][emoji56][emoji56]
 
HAPANA, yaweza kuwa chai kwa leo lakini yaweza tokea. Kwa mtu mwingine ambaye sio mleta mada
 
Mnawaza uchawi tu

Kuoga nje kajisikia haswa kama mnashare Vyoo

Mimi wakati mwingine huwa napata kinyaa unakuta navizia watu wamelala naoga nnje

Au wakati mwingine uvivu wa kutoa maji nnje then nipeleke chooni

Na Kama nimeoga nnje siwezi kuanzA kujisugua ni chapu tu kwa haraka

So sio kila kitu ni ushirikina
 
Yaani umeshindwa kumbananisha akakupa majibu?, kumbuka uko naye na ndiye mtuhumiwa mbananishe atakupa majibu sahihi tu
Ukitaka akupe jibu zuri always usimuulize mwanamke swali on the spot she won’t answer properly,msubiri hata cku 3 or mwezi amesahau atakueleza ujinga wake wote only if ni kitu kinachokuhusu ww hatasema ilaatamuambia atakaemla na siww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom