Mwanamke wangu ameoga nje usiku watu wamelala

Mwanamke wangu ameoga nje usiku watu wamelala

kuoga nje kumbe ni uchawi nilikuwa sijui, labda ana mimba maana nilishawahi kuexperience kutamani kuoga nje mchana lkn, au labda bafuni kwenu kuchafu
big no bafu ni safi sn ukzngatia tupo wapangaji wawili tu tena wote tuna familia ya mama na baba na mtoto 1 tu.
 
Ukitaka akupe jibu zuri always usimuulize mwanamke swali on the spot she won’t answer properly,msubiri hata cku 3 or mwezi amesahau atakueleza ujinga wake wote only if ni kitu kinachokuhusu ww hatasema ilaatamuambia atakaemla na siww
That is what we call social inference skills, usisahau kazawadi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom