lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,222
Wkubwa zangu shikamooni!!!!!!!!
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeessssssssssssssss!
Hahahaaaaaaaaaaaa! Leo nimevaa Bullet Proof Mapemaa manake Kuchimbika Hapa Haikwepeki!!!!!! (Hamchoki tu Kunisulubishaaaaaaa Mwana wa mwanamke mwenzenu!) Nabii hakubali Nyumbani Kwao ila hawezi acha kuhubiri, so na mimi siwezi kuacha kuandika!
IT IS WHAT IT IS AND IM TELLING IT AS IT IS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
SPEECH HILI NAENDA KUMPA MWALI CLASSIC LINAFAA WAJAMENI? (Mambo yetu yalee tuweke pembeni kidogo!)
1.Mzuri sanaa mwenye haiba ya kuvutia! Ana mvuto, classic, looker! Anajipenda, anajisopu sopu na mapafyumu ya bei ya juu! Anaenda na Fassion, anaushinda umri nguvu (Miaka 50 utazani ana 36). Mwanaume yoyote rijali lazima atoe jicho! (Tusidanganyane uzuri wa nje ndo mpango mzima, kama huna mvuto jamii yetu hii ya kichina inakushitia mbali) Ukiwa na mvuto mumeo anafarijikia zaidi na kujiona mwenye bahati sio kukwepa kuongozana!!!!!
2.Yuko vema kiuchumi! Huyu anasimama yeye kama yeye sio lazima kuwezeshwa! Ana earn income yake ya maana hata bila kidume bado yuko juu kama kawaida! Hataki uchumi zaifu kama Kazini yeye Bosi, kama Biashara anatishaa kwa mauzo, Ana make shit happen on her own! Wakikaa na mwenzie maendeleo mtindo mmoja!
3.Anajua Kupenda! Yaani mtu wake anafaidije sasa! Kwanza muaminifu!, Pili anajua kumuheshimu mpenzi wake na kuonesha nidhamu! Tatu anajua kumjali mwanaume si kwa mawasiliano, kuspend nae mda, zawadi, mawazo! Yaani a man cant wait to see her au kuwa kwenye company yake!
4. Ana Bachelor in Sexiology n Majambozzz! Hiyo sekta usimgusie kabisaaa! Anajielewa kuwa mwanaume yuko nae pamoja na mengine ila kikubwa anchohitaji ni Kidude na maraha yake! Hambanii! Anampa mpaka akinai! Mbunifu wa sekta hio! Anajua amshike wapi, mda gani! His wish is her command! Akitaka mwenyewe anaomba si mpaka aombwee!!! Anaju ni wajibu wake kumake sure Mr. anapata kitu roho inapenda! Halipui lipui kazi! Akishika mic, anaimba hadi kwenye speaker 2 sio kulipualipua tu! Anajua avae nini kimstimulate mwenzie! Sio kufanya mambo mradi umefanya! Skuna/Pums/High heels hadi kwenye 6*6. Mwanaume hadi anajiona yuko ndotoni!
5.Ana Masters ya Mahusiano! Hana mood swings! Haendeshi Champions league na mwanaume! Haweki vitu rohoni! Akigombna na mumewe lazima waishie kwenye Make Up Sex! sio kununa mwezi! Akitaka kitu/pesa anajua kuzichomoa kwa mahesabu sio kudai kama zake! Anabembeleza apewe! Ndugu wa mumewe anawajali kama wake! Anadumisha amani ndani ya nyumba sio kuendesha kesi kama Mpare yuko tayari kuuza ngombe kwa kesi ya kuku!!!! Anasamehe na kusahau! Sio nimekusamehe ila sitosahau hili maishaaa!
6.Anajua Kumhandle Mume!!!! Anajua wajibu wake as a wife, kujua mumewe atavaa nini, kumnunulia nguo zinazoenda a wakati! Kumchagulia nguo za kazini! Kumngojea mumewe kitandani na khanga moko akizuga na gazeti! Akiingia ndani tu mabusu, shurti bae lipokelewe, kama kaja na mzigo wa jikoni ushukuru!, umvue viatu, umpe kimoja cha pole na uchovu! umsikilize kama ana jipya! Sio kufika tu kesi ya jana inaanza ilipoishia!!!! Mzigo wa jikoni Mbona maini hamnaa humu? Kuku gani zakisasa hizi magonjwa tupu haya umeleta! Kweliii atawahi kurudi kesho?
7.Anasali na kuomba Mungu!!! Sio kutwaa kwa waganga kumloga mumeo atulie, atake asitake unamtulizaa! Kutwa kumlisha uchafu mwana wa mwenzio haishi kuhara!!!!!! Mepenzi Sanaaa tu wala hayahitaji ndumbaaa!
8.A good Mum!!!!!! Anajali watoto na maendeleo yao kwa ujumla! Anakaa nao, anawasikiliza, anafuatilia maendeleo shuleni, anafatilia tution, kama dini wanashika! Nguo na mahitaji ili wawe classic. She goes an extra mile kuhakikisha wanawe wako smart n happy! Anakuwepo kila part ya ukuaji wao! Sio mama mama jina tu, uzugaji mwanzo mwisho!
9.Anajiendeleza kielimu na kijamii! Sawa inaweza kuwa umekuja mjini mshamba ila kubaki mshamba ni uamuzi! Go an extra mile usimuaibishe mumeo! Kama hukusom huko nyuma, soma sasa! Jiendelezee! Sky is the limit! Jitoe ushamba! Jifunza mambo ya kimujinimujini, english corese, french hata spanish ikibidi! Aquire class! Sio kujibweteka hadi mumeo kwenda na wewe mahali anajishauri!!!!! Vitu vingine unajinyima mwenyewe!
10. Anajua haki zake! Anajua nini wajibu wa mumewe kumtendea na kisipotendwa anadai mpaka apate haki zake! Hapelekwi pelekwi kama zobaaa! ALAS! Anajua njia sahihi ya kudai haki yake kwa heshima na tija zote! Sio basi kadi ndo kama mahakama huwazi mara 2! Dai kwa stahaaa!
Times are changing we jibweteke tu ushangae na roho yako, mambo ya tekelinalotujia hutakuwa na wa kumlaumu!!!!!! (Level hizi unafika kabisaaa sema hujajiamini tu! kwenye nia pana njia)
VIPI WADAU SPEECH LINAFAA HILI KUMFUNZA BIBI HARUSI? NISIJE KUJIAIBISHA WIFI NIMEITWA NIKASABABISHE, REPUTATION YA UKOO IKO AT STAKE! (Itikadi zangu zilee leo kidogo pembeni! )
PART 2 MWANAUME WA UKWELI IKO JIKONI!!!!! (TUONE WHO WILL BE LAUGHING THEN!!!!!!!)