lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,223
- Thread starter
- #61
lara1.vua bullet proof,mada yako tamu sana
Ndo NIMESHANGAAAAAAA!!!!!!!!!! Watu humu hamtabiriki! Nikitabiri kuchimbika nashangaa watu kuunga mkono hoja! Nikileta hoja ya msingi PANACHIMBIKA!!!!!!!! Khaaaaa! Mi sikutegemea kama itapokelewa!
Napataje shida sasa, manake nimezoea upinzani mkali!!!!! Hadi inanitia shaka kama nyie humu mlivo na mioyo migumu mmebarki je ukmbi si utabaki SPEECHLESS Nikose wa kunipigia Makofi?