Mwanamke wa ukweli na uhakika karne hii!!!!!

Hahahaaaaa! Tatizo mnasoma mada nusu nusu, naenda kwenye kitchen pary kutoa mada kama wifi, sasa sitaki wifi aone ukoo mwepesi huu! Nataka ajipange!

Niolewe na nani wakati mchagga kanipa Yellow Card ukiona hivo ujue Red haiko mbali aiseee! Niioneeni huruma mniachie basi Prisoner 46664 nijipunguze nae stress kipindi hiki cha sikukuuuu! Ujue ulitendalo ukiwa umepumzishwa mech kwa yellow card haihesabiwi kama faulo! Ujumbe umfikie Ciello akiwa wall street anataabika tu saa hizi!

Mi kuolewa wote mtaniacha!!!!! Labda kuzaa!

hahaha safari moja huanzisha nyingine leo unamwambia wifi as u go on unajikuta inajiambia mwenyewe, tena afasali jana prisoner jajatoa hukumu lol, he is too gud kufanywa kiraka cha ,mchaga kwa mda then mkisolve na mchaga umdump my prisoner
 
Vipi unakaribia kuolewa nini?

Thubutuuuuuuu! Namtengezea njia cousin bro afaidi matunda ya ndoa!

Mimi maujuzi yote haya n more (secret formulas) afu ni belong to 1 man forever!!!!! He must be realy special! I belong to 1 man yes! But only at a time!
 
hahaha safari moja huanzisha nyingine leo unamwambia wifi as u go on unajikuta inajiambia mwenyewe, tena afasali jana prisoner jajatoa hukumu lol, he is too gud kufanywa kiraka cha ,mchaga kwa mda then mkisolve na mchaga umdump my prisoner

Hahahaaaaaaaa! Si unaona wote tuna common ground ya kuachwa!!!!!!! Tunapoozana machungu!

Kuhusu Mchagga Vs Prisoner itategemea Prisoner kajipangaje? I will see what He has in store for me! Kama yuko poa, kamzidi mchagga, kila idara mbona wiki tu inanitosha ku move foward!!!!!!!! Hakuna kitu napenda kama maendeleo!

I focus on the future rather than the past!!!!!!! My Past doesnt determine my future!

The probability of ma game is Mutual Exclusive! (1 compoent dsnt affect the other)
 
Lala 1,,
::
Nakubaliana na namba nyingine zote ila namba moja natia mashaka.Asilimia kubwa ya wanawake wanaopendezesha nje wanasahau mambo ya msingi ya ndani yake.Wanapoteza muda mwingi kujiremba,kujikondesha,kujichumbua ngozi,ni kana kwamba wameambiwa dunia nzima wanaotakiwa kubaki ni weupe tu,,mbona wapo wasio na harakati hizo na wanaume wanatamani kuvunja ndoa zao wawapate?
=
 
achana na prisoner bana, u r too gud for him, afu unajua watu8 ni mtanga mwenzio bora ukapumzike huko
 
Lara 1 !
Leo hujagusa wallet! Utapata sapport za ukweli
speech imetulia! Wakati naisoma nilitulia utafikiri nafundwa mimi.
Matendooooo ndo ishuu
 
Bado nasisitiza kuwa ni rahisi kumchunguza mbwa kuliko binadamu!

lara 1 umenena vema lakini naomba niongeze kidogo kuwa mwanamke wa karne hii tabia njema ni muhimu sana, maana unaweza ukaoa mzuri lakini akawa cha wote kwa hiyo swala la tabia ni lakuzingatiwa sana kwani wengi wamekuwa wakiachwa au kusikosa ndoa sababu ya tabia zao zisizo faa kwenye jamii hasa kugawa kama pipi!

Hapo pia kwenye swala la uchumi ndio uwakwamisha wengi kusimama kwani wengine udhani kuwa wao wanatakiwa wawe wakuletewa au kupewa kila kitu na mwanaume kumbe sivyo! Wana sahau kuwa hata bora wa mwanamke unaweza ukapimwa na uwezo wake wa kusimama mwenyewe bila kumtegemea mtu!
 
Last edited by a moderator:

Tetraa cha ubishi lazima utie neno!!!!!!!! Mie naitetea namba moja kwa yafuatayo!

1.Mke ukiwa Sexy (Unaweza kuwa Bonge, mweusi, yet you are sexxy) Mumeo anafarijika sanaa! Yaani hata kukutambulisha, au kuongozana na wewe aukutoka out anajisikia burudani!

2.Inakuongezea comfidence hata Mumeo akiongea na wadada sexxy! Sababu mwenyewe unajiaminia hawakuiingii mara 10! Wivu mshenzi*y unakuwa huna!

3.Hata nyumba ndogo inatia adabu, sio kukudhihaki na kukuonea huruma! Nae small house anakubali ushindani mkali!

4. It boost your sexual life! Ujisikia mzuri, watu wanakusifia mzuri, mumeo nae anakukubali! You jst feel you can do anything you wish! Hata Lengire ukivaa unakuwa unajiamii your sexy n they know it! Sio unawahi KUZIMA TAA ndo uvue nguo!!!! Khaaaaaa!
 
Nigusie pesa cousin wangu akachunweeee!!!!!! Thubutuuuu!

Believe it or not mimi i practise most of those, isipokuwa hilo la Kiuchumi ndo imeshindikana! LOL! Na pia i got anger management issues kidogo! Ila hayo ya kitandani, mahusiano most natekeleza tena i enjoy!

Ujue mapenzi Utapeli eeeh! Especially ukiwa Komba Wallet kama mimi you need to be Special ili akuone Special na kuzitoa fuba hizo! Inabidi uende extra mile! Beyond Normal! Pesa inanitesa acheni! Kumcomvise Im worth the Service and Expense!

We anza kujizoeza kidogo kidogo utaona mafanikio yake!!!!! Hahaaaaaaaaaaaa! Yataka Moyo Lakini!
 
WHAT!??? is this from lara 1 ama dada snowhite umehack account yake!??

UNBELIEVABLE...
ila seriously, Lara, is that too much to do for your man? Do u think ukifanya hivyo he will betray your love?? I doubt..at least not me!

Ol th best kwenye kitchen party ya Jumanne.
 
Last edited by a moderator:
Hahahah lara 1 umejuaje nataabika shosti bac mida ya sa6 kaja client ana ndugu yake kawekwa ndani kwa wizi wa maden nafgem boc akaja akanambia bibie nenda kampigie mzee kazi upate mkwanja wa xmas ukizingatia nimepigika cna hata senti bac tukaenda site nikapiga mambo nikampa na bei nikarud kwa ofc kuandaa report mzee akanambia atarud na mkwanja, nikajipinda mtoto wa kike sijaenda hata lanchi, karudi mida ya jion kuchukua ripot yake, nikamwambia mzee nipe mkwanja wangu nikupe ripoti yako akaanza longolongo nikamwita kijana nikampa ripoti ile nikamwambia tangulia nayo mzee kazingua nami nikabeba mkoba nitoke acha aanze kunipa maneno ya kunilaumu ooh vijana wa cku mnapenda hela ooh nipe risit wakati hamna cha risit bac bonge la dhahama ila mkwanja wangu kanipa ndo najipoza na dompo hapa kweny viti virefu!
Hahahaaaaa! Tatizo mnasoma mada nusu nusu, naenda kwenye kitchen pary kutoa mada kama wifi, sasa sitaki wifi aone ukoo mwepesi huu! Nataka ajipange!

Niolewe na nani wakati mchagga kanipa Yellow Card ukiona hivo ujue Red haiko mbali aiseee! Niioneeni huruma mniachie basi Prisoner 46664 nijipunguze nae stress kipindi hiki cha sikukuuuu! Ujue ulitendalo ukiwa umepumzishwa mech kwa yellow card haihesabiwi kama faulo! Ujumbe umfikie Ciello akiwa wall street anataabika tu saa hizi!

Mi kuolewa wote mtaniacha!!!!! Labda kuzaa!
 
Last edited by a moderator:
Bado nasisitiza kuwa ni rahisi kumchunguza mbwa kuliko binadamu!

lara 1 umenena vema lakini naomba niongeze kidogo kuwa mwanamke wa karne hii tabia njema ni muhimu sana, maana unaweza ukaoa mzuri lakini akawa cha wote kwa hiyo swala la tabia ni lakuzingatiwa sana kwani wengi wamekuwa wakiachwa au kusikosa ndoa sababu ya tabia zao zisizo faa kwenye jamii hasa kugawa kama pipi!

Hapo pia kwenye swala la uchumi ndio uwakwamisha wengi kusimama kwani wengine udhani kuwa wao wanatakiwa wawe wakuletewa au kupewa kila kitu na mwanaume kumbe sivyo! Wana sahau kuwa hata bora wa mwanamke unaweza ukapimwa na uwezo wake wa kusimama mwenyewe bila kumtegemea mtu!

Ujue unaweza kuwa na Tabia mbaya afu hujijui kama unayo!!!!!!!!!!! Ndo maana nikaainisha tabia njema ya mtu mzima hapo kwa point bin point! Sasa mwengie hajui Moods ni tabia mbaya! Kununa ni tabia mbaya! Kulalama ni tabia mbaya! Uchoyo ni tabia chafu!

Yeye tabia mbaya anayoijua ni Umalaya tuuuuuu! Vingine vote haoni! Tena anjiconsider mwenye tabia njema kweli kweli!
 
Hahahah lara 1 umejuaje nataabika shosti bac mida ya sa6 kaja client ana ndugu yake kawekwa ndani kwa wizi wa madin nafgem boc akaja akanambia bibie nenda kampigie mzee kazi upate mkwanja wa xmas ukizingatia nimepigika cna hata senti bac tukaenda site nikapiga mambo nikampa na bei nikarud kwa ofc kuandaa report mzee akanambia atarud na mkwanja, nikajipinda mtoto wa kike sijaenda hata lanchi, karudi mida ya jion kuchukua ripot yake, nikamwambia mzee nipe mkwanja wangu nikupe ripoti yako akaanza longolongo nikamwita kijana nikampa ripoti ile nikamwambia tangulia nayo mzee kazingua nami nikabeba mkoba nitoke acha aanze kunipa maneno ya kunilaumu ooh vijana wa cku mnapenda hela ooh nipe risit wakati hamna cha risit bac bonge la dhahama ila mkwanja wangu kanipa ndo najipoza na dompo hapa kweny viti virefu!
Hahahaaaaa! Tatizo mnasoma mada nusu nusu, naenda kwenye kitchen pary kutoa mada kama wifi, sasa sitaki wifi aone ukoo mwepesi huu! Nataka ajipange!

Niolewe na nani wakati mchagga kanipa Yellow Card ukiona hivo ujue Red haiko mbali aiseee! Niioneeni huruma mniachie basi Prisoner 46664 nijipunguze nae stress kipindi hiki cha sikukuuuu! Ujue ulitendalo ukiwa umepumzishwa mech kwa yellow card haihesabiwi kama faulo! Ujumbe umfikie Ciello akiwa wall street anataabika tu saa hizi!

Mi kuolewa wote mtaniacha!!!!! Labda kuzaa!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaa! Kutekeleza yote hayo kwangu Easy tu iwapo I have a Man anaeelewa wajibu wake plus kuna motivation! A man has to motivate me kumtendea hayo, si bure bure!

Usione hivi ujue bwana harusi upande wetu ndo nachota bi harusi!!!!!! Akafaidi cousin wangu!

Cousin wako atafaidije....btw nikisomaga post zako naona kama una kipaji cha akina Sadaka (yule dada anayefanya inspirational talk) , nawe convert cha kwako into bness huwezi jua, maana soko la inspirational talk linaanza kukua bongo.
 
Hahahah lara 1 umejuaje nataabika shosti bac mida ya sa6 kaja client ana ndugu yake kawekwa ndani kwa wizi wa maden nafgem boc akaja akanambia bibie nenda kampigie mzee kazi upate mkwanja wa xmas ukizingatia nimepigika cna hata senti bac tukaenda site nikapiga mambo nikampa na bei nikarud kwa ofc kuandaa report mzee akanambia atarud na mkwanja, nikajipinda mtoto wa kike sijaenda hata lanchi, karudi mida ya jion kuchukua ripot yake, nikamwambia mzee nipe mkwanja wangu nikupe ripoti yako akaanza longolongo nikamwita kijana nikampa ripoti ile nikamwambia tangulia nayo mzee kazingua nami nikabeba mkoba nitoke acha aanze kunipa maneno ya kunilaumu ooh vijana wa cku mnapenda hela ooh nipe risit wakati hamna cha risit bac bonge la dhahama ila mkwanja wangu kanipa ndo najipoza na dompo hapa kweny viti virefu!

Hahahaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!! Kumbe na wewe kazini KICHOMII!!!!!!!! Bora ulivopata huo mpunga Ungempeleka Prisoner 46664 Dinner na ushuzi gani? Ungeumbukaje!!!!!!!!!!!! LOL!

Hahaaaaaaaaaaa! Kama namuona mzee alivotaka kupasuka kwa hasira! Ukiendekeza wema na kuonekana Mzuri ungekopwa kweupeeeeee!!!!!! Kama namuon Kijana kajitwisha report begani! LOLEST!
 
Last edited by a moderator:
Cousin wako atafaidije....btw nikisomaga post zako naona kama una kipaji cha akina Sadaka (yule dada anayefanya inspirational talk) , nawe convert cha kwako into bness huwezi jua, maana soko la inspirational talk linaanza kukua bongo.

Hahaaaaaaaa! Ujue Inspiration talk inata uwaambie watu wanachopenda kukisikia!!!!!!! Sasa hapo mi ndo sipataki na sipawezi kabisaaaaa!

I like to keep it real! I tell it as it is! BLACK N WHITE sio kum please mtu!!!!!!!! NOOOOOOO!!!!!!!!!

Im into Politics though! LOL!
 
WHAT!??? is this from lara 1 ama dada snowhite umehack account yake!??

UNBELIEVABLE...
ila seriously, Lara, is that too much to do for your man? Do u think ukifanya hivyo he will betray your love?? I doubt..at least not me!

Ol th best kwenye kitchen party ya Jumanne.

Mnajema nyie!!!!!!!!!! Itapunguza tatizo ila nyie mlivo inabidi Mtu akae macho sanaa! Hamfai kuusema Moyo!
 
Tetraa cha ubishi lazima utie neno!!!!!!!! Mie naitetea namba moja kwa yafuatayo!

1.Mke ukiwa Sexy (Unaweza kuwa Bonge, mweusi, yet you are sexxy) Mumeo anafarijika sanaa! Yaani hata kukutambulisha, au kuongozana na wewe aukutoka out anajisikia burudani!

2.Inakuongezea comfidence hata Mumeo akiongea na wadada sexxy! Sababu mwenyewe unajiaminia hawakuiingii mara 10! Wivu mshenzi*y unakuwa huna!

3.Hata nyumba ndogo inatia adabu, sio kukudhihaki na kukuonea huruma! Nae small house anakubali ushindani mkali!

4. It boost your sexual life! Ujisikia mzuri, watu wanakusifia mzuri, mumeo nae anakukubali! You jst feel you can do anything you wish! Hata Lengire ukivaa unakuwa unajiamii your sexy n they know it! Sio unawahi KUZIMA TAA ndo uvue nguo!!!! Khaaaaaa!

Of course mwanamke mazingira,mwanamke urembo,mwanamke kujiremba ILA
::
Vipi wale ambao wanamabegi ya vipodozi? Sura nzuri sana kauli zinanuka? Wanawake wenzao wasiojipodoa wanawaona kichefuchefu? Anaogopa kugusa jikoni asichafuke,,IS THIS WHAT WE CALL BEAUTY?
::
Looking sexy or attractive..ni asili ya maumbile ya mtu.Mbona wapo ambao wanajifanya sexy ladies hadi wamefikia hatua ya kuonekana vichekesho badala ya kuvutia IS THIS WHAT WE CALL CONFIDENCE?
::
Ni kweli,unatakiwa umteke mwanaume asifikirie nyumba ndogo..huoni wapo wanajipodoa ila kauli njema ni neno ambalo halipo kwenye kamusi yao,tabia njema ni kama kutafuta sarafu yenye picha ya Kikwete.IS THIS WHAT WE CALL WOMAN SECURITY?
=
 
achana na prisoner bana, u r too gud for him, afu unajua watu8 ni mtanga mwenzio bora ukapumzike huko

Aaaaaaaaah wapi! Tui! Tui! na Nazi ni nazi! TUTABANANA HAPO HAPO!!!!!!!!! Sidanganyiki!!!!!!!
 
Of course mwanamke mazingira,mwanamke urembo,mwanamke kujiremba ILA
::
Vipi wale ambao wanamabegi ya vipodozi? Sura nzuri sana kauli zinanuka? Wanawake wenzao wasiojipodoa wanawaona kichefuchefu? Anaogopa kugusa jikoni asichafuke,,IS THIS WHAT WE CALL BEAUTY?
::
Looking sexy or attractive..ni asili ya maumbile ya mtu.Mbona wapo ambao wanajifanya sexy ladies hadi wamefikia hatua ya kuonekana vichekesho badala ya kuvutia IS THIS WHAT WE CALL CONFIDENCE?
::
Ni kweli,unatakiwa umteke mwanaume asifikirie nyumba ndogo..huoni wapo wanajipodoa ila kauli njema ni neno ambalo halipo kwenye kamusi yao,tabia njema ni kama kutafuta sarafu yenye picha ya Kikwete.IS THIS WHAT WE CALL WOMAN SECURITY?
=

Hahahaaaaaaaaaaaaa! Sasa we unaongelea watu Viburi sio kuwa hawajielewi ila wameamua! Hao wanakuwaga na stress zao!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom