Mwanamke wa ukweli na uhakika karne hii!!!!!

Mwanamke wa ukweli na uhakika karne hii!!!!!

Hahahah prisoner ningejua namtoa vp mzee alitaka kunikopa wakati mie cna mbesa yaani kanitolea mpunga huku amenikata jicho nikaogopa cwajua wazee wa chuga kwa kutembea na chamoto kuna mwenzetu ofcn aliwah kutolewa mguu wa kuku akawa ka piriton
Hahahaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!! Kumbe na wewe kazini KICHOMII!!!!!!!! Bora ulivopata huo mpunga Ungempeleka Prisoner 46664 Dinner na ushuzi gani? Ungeumbukaje!!!!!!!!!!!! LOL!

Hahaaaaaaaaaaa! Kama namuona mzee alivotaka kupasuka kwa hasira! Ukiendekeza wema na kuonekana Mzuri ungekopwa kweupeeeeee!!!!!! Kama namuon Kijana kajitwisha report begani! LOLEST!
 
Last edited by a moderator:
ahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhahahahhahahahhahahhahahhahahahaha WATU PEEEEEEEEEOPLE!kheee walahi leo naomba nikutoe japo dinner mdogo wangu!lkha!
 
Aaaaaaaaah wapi! Tui! Tui! na Nazi ni nazi! TUTABANANA HAPO HAPO!!!!!!!!! Sidanganyiki!!!!!!!

umekomaa duuh, haya na tuendelee kubanana bt huyu wifi kweli kapata wifi
 
Thubutuuuuuuu! Namtengezea njia cousin bro afaidi matunda ya ndoa!

Mimi maujuzi yote haya n more (secret formulas) afu ni belong to 1 man forever!!!!! He must be realy special! I belong to 1 man yes! But only at a time!

Haya mama kila la kheri...ila maneno yaendane na vitendo usiwe kama ndege chiriku...
Si uliona The Boss na Prisoner46664 walivyo wachache wa maneno lakini ni wengi wa habari kama kutega tetere!
 
ahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhahahahhahahahhahahhahahhahahahaha WATU PEEEEEEEEEOPLE!kheee walahi leo naomba nikutoe japo dinner mdogo wangu!lkha!

hahahha ticha umeona eenh nilikua nakusubiri tu uje
 
lara 1 mpenzi ngoja niandae chakula nakuja!muda si mrefu wala usiondoke mamii!
 
Last edited by a moderator:
lara 1 mpenzi ngoja niandae chakula nakuja!muda si mrefu wala usiondoke mamii!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaaaaaaaa! Sasa we unaongelea watu Viburi sio kuwa hawajielewi ila wameamua! Hao wanakuwaga na stress zao!

Umekubali kuwa UZURI WA NJE ni sifa ya mwisho na UZURI WA NDANI ndio mwanamke makini wa karne hii,anatakiwa aitafute maana idadi ya wanawake wanaoipoteza inazidi kuongezeka?
 
Haya mama kila la kheri...ila maneno yaendane na vitendo usiwe kama ndege chiriku...
Si uliona The Boss na Prisoner46664 walivyo wachache wa maneno lakini ni wengi wa habari kuna kutega tetere!

Hahahaaaaaaaaaaaaaa! Mbinu za kiume na za kike tofauti kabisaaa!
 
Umekubali kuwa UZURI WA NJE ni sifa ya mwisho na UZURI WA NDANI ndio mwanamke makini wa karne hii,anatakiwa aitafute maana idadi ya wanawake wanaoipoteza inazidi kuongezeka?

Sijakubali!!!!!!!!! Tena Nakataaa Katu katu!

Uzuri wa ndani bila wa nje ni Kazi bureeeeee!(Seeing is Believing!)

Uzuri wa ndani na wa nje ndo mpango mzimaaaaaaaa! Hapa unakuwa umemalizaaaaaaaaaa!
 
Hahahaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!! Kumbe na wewe kazini KICHOMII!!!!!!!! Bora ulivopata huo mpunga Ungempeleka Prisoner 46664 Dinner na ushuzi gani? Ungeumbukaje!!!!!!!!!!!! LOL!

Hahaaaaaaaaaaa! Kama namuona mzee alivotaka kupasuka kwa hasira! Ukiendekeza wema na kuonekana Mzuri ungekopwa kweupeeeeee!!!!!! Kama namuon Kijana kajitwisha report begani! LOLEST!

Daaah!...kama nnaiona ile date vile..in alphabetical order. Ciello..kwa hii roho ya hustling nimekukubali kinoma!!
 
Last edited by a moderator:
ahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhahahahhahahahhahahhahahhahahahaha WATU PEEEEEEEEEOPLE!kheee walahi leo naomba nikutoe japo dinner mdogo wangu!lkha!

Hahaaaaaaaaaa Hakuna kulala!!!!!!!! Leo wake za watu wajitathmini upyaaaaaaaaaa!!!!!!!
 
Ciello kungambile?
Niwazi kabisa binadamu upenda kuuliza wanachokijua

lara 1 leo ameamua kujipa somo zuri, ushukuriwe sana kwa maono hayo!

!
Hivi mnajadil nn hapa mbona siwaelewi?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom