ki ukweli ulichoongea ndivyo wanawake wengi wanavyoishi kwenye ndoa najua kiukweli hata wewe na mchaga mkitiana pingu utafuata hizo kanuni hapo ........umetoa darasa la nguvu.....big up :clap2::clap2:Hahahaaaaaaaa! Si unajua I AM A WOMAN OF MANY FACES!!!!!! Nikifanya kitu sio kuwa sijielewi bt sijaamua tu! (Jeuri binti kibriii)
Hahaaaa na nikileta ya mwanaume wa ukweli muwe wapole hivo hivo!
rejea NO. 5 HAPO JUU ..... Masters ya Mahusiano......Bwana weeeeeeee! Mtu akikuchoka mwache aendee! Huo mda wa kumlamba miguu nikiutumia vizuri sikosi substitute!!!!!! Mimi when loves flys out the window na mahakama ikianza ya kesi juu ya kesi siwezi kabisaaaa hizi biashara! If he doesnt get it together he is out for good! Mmabo ya kumsubiria mtu ajirudi hujui atajirudi lini, majira yapi, decade ipi!, siyataki, waweza kujikuta unazeeka unangoja ajirudi mwenzio!