Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,188
- 9,165
Anhaa ni jambo zuriMwanamke wa Saudia Noura Salem Al- Shammari ametoa figo yake moja na kumchangia mke wa pili wa mumewe Taghreed Awadh Al-Saadi, ambaye alikuwa akiteseka kwa miaka mingi baada ya figo yake kufeni
They are sharing the samedick so as to the kidneys.Mwanamke wa Saudia Noura Salem Al- Shammari ametoa figo yake moja na kumchangia mke wa pili wa mumewe Taghreed Awadh Al-Saadi, ambaye alikuwa akiteseka kwa miaka mingi baada ya figo yake kufeli.
we hawez kuweza?Mmmmh
Si mbaya kumuenzi Suleiman...
uislam hapo uko wap?uislamu ni mwema sana.
Tumia jicho la 3uislam hapo uko wap?
Uislamu mwema sana, uke wenza sio uaduiHii Kali, ukisikia mpende adui Yako ndo hii Sasa.