Mwanamke wa Kitanga ndani ya Daladala

Kweli Kuna characters huwezi date hata kwa saa moja...!
 
Co tatzo sema watz wanaona sio maadili ila ni kitu cha kawaida sana..
 

Dala dala ya njia gani?
 
Tt lakitanga kipini puani heleni kibao masikioni shanga kichwani (wenyewe siku hizi wanabania nywele au vilemba)mikufu ya maana shingoni bangili za shanga mikononi zisizo na idadi vikuku miguuni na pete kwenye vidole vya miguu wanja alioupaka kiasi akikutazama waweza sema jicho lataka kuanguka mtt si mrefu si mfupi si mnene si mwembamba tt namba 8 unaiona ukiangalia vizuri unaiona ya ndani yake hapo lazima rijali uchepuke
 
Walishukia na kupandia vituo gani? Samahani sijui unakumbuka walipanda hiyo daladala muda gani? Na mimi nataka nikamvizie huyo dada wa kitanga!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…