SIM
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 1,796
- 1,308
Tuache porojo...warangi ni malaya sana...mrangi anaweza tembea na familia yenu nzima..hawanaga mshipa wa noma
Walivyo warembo lazima ukae
Last edited by a moderator:
Tuache porojo...warangi ni malaya sana...mrangi anaweza tembea na familia yenu nzima..hawanaga mshipa wa noma
Tuache porojo...warangi ni malaya sana...mrangi anaweza tembea na familia yenu nzima..hawanaga mshipa wa noma
aicee 90% wanapenda limbwata ndani ya ndoa af kwa historia yangu demu wa kirangi hajawahi kunikataa,kuna mwingine alinikubalia nakuja home namueleza bro ananiambia yle ni demu wake na ushahidi kibao, anyway maybe wako yuko kune 10%
Mh! hata sikushauri wanatabia ya kumlimbwata mwanaume yani hata ufanyiwe nn ww hukurupuki na hawapendi ndugu wa upande wa mwenzake, ni hayo tu machache ukitaka mengi .........
je wanamvuto na uzuriwanawake wa kigoma full utulivu na wavumilivu....take one na hutajutia kabisa!!!
je wanamvuto na uzuri
walionao watoto wa kirangi?
kizuri chajiuza!!
duuuh! kumbe hawafai hata kwa kulumangia na ugali...yaani ukijenga tu wanakuua!....unawaogopesha watu waliooa warangi ndugu yangu!Hawa chunu cha boa hawafai kabisa,kula tembea usiwekeze utakufa,wanawake wengi wa kirangi tunao hapa area "a"dom waume zao wakufa baada ya kujenga.
Hawa chunu cha boa hawafai kabisa,kula tembea usiwekeze utakufa,wanawake wengi wa kirangi tunao hapa area "a"dom waume zao wakufa baada ya kujenga.
Umwaree? Jooli ulango?
duuuh! kumbe hawafai hata kwa kulumangia na ugali...yaani ukijenga tu wanakuua!....unawaogopesha watu waliooa warangi ndugu yangu!
Hawa chunu cha boa hawafai kabisa,kula tembea usiwekeze utakufa,wanawake wengi wa kirangi tunao hapa area "a"dom waume zao wakufa baada ya kujenga.
hiyo sifa wala hatunaga
usafi kwetu tumejaliwa
mvuto usipime,rangi ya kuita
viuno feni cha mtt,vingine ni tabia ya mtu
wala si kabila!!tumefundwa tukafundika alaaaa!!
nashangaa wanavyopakaNaunga mkono hoja.
tunawalimbwata kwa mauno
na makea kibao,rangi, figure zinawachanganya
tunadumu sana kwny ndoa zetu na hatupo kama mnavyojaji
kuhusu umalaya hakuna kabila lisilopenda uchi so ni malezi na makuzi
ya mtu,na tabia ya mtu pia!!umalaya ni tabia ya mtu c kabila!!
uongo uliotukuka huo Mkekuu
sifa hii ni ya huko kwenu!!
hatubishani mkuu,ila ukweli ndo huo,hutaki basi povu lisikutoke sana mkuu.Mkuu naona unataka kupindisha ukweli wa kabila lako la kichagga,,wachagga wanawezana wenyewe kwa wenyewe mi Uncle wangu alioa mMachame aliipata.