Yalaaaah
Nacheki Joto City girlz
Endeleeni kukaa tu maporini na kutambia kilimo + kutuita wanaume wa Dar 7bu kwenu hakuna vitu vizuri......
Mkachunge ng'ombe na kupalilia mipapai!!!
Bishoo la Joto City
The Bitoz
Ni Th Name sio The Name
Ni watu wawili tofauti
Jifunze kutofautisha
Acha wakae 2 2we 2naona mengi
Mbona poa tu
Aseee giggy
Hawez huyo anatoka na watu wa dar na watu wa mbeleUnadhani atatembea na mabushstars ? Na harufu zao za king'ombeng'ombe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bushstar una mbwembwe umezoea kuhonga viazi huko kwenu sasa ukija Joto City unalalamikaBitoz dada zenu huwa hamuwapi pesa jana nimeuza mifugo yangu nikaona ngoja nimtafute dada yako njaa kweli watafutieni mitaji sio kusubiri mizinga tu