Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
- Thread starter
- #101
Endelea kujisaidia porini km mifugo yakoWanaume dar vipi kuna kundi limeibuka linaitwa 10 ndani 10 nje vitoto tu lakini vinafunga mitaa nyie mmekalia kumjadili wema na zari nina mpango wa kuuza kondoo na mifugo yangu yote nije niwahamishe wanaume wote wa dar niwahamishie zanzibar mkale urojo sawa?
Korosho huwezi kuuza coz wanaume wa Dar ndo solo lenu kuu halafu mnajifanya wajanja
Korosho zenu chafu chomeni mle wenyewe
