Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,936
- 10,560
Anapiga mizinga huyo kuna siku kanivizia mnadani analia njaa oooh mzee niache hata na 10000 nikamwambia twende pori ukachunge mbuzi alilalamika sana mzee mimi hata bata sijawahi chunga nitaweza kweliHahaaaaaa atanitembeza tu kisha nirufi home. Najua dar kugumu
Mwanza burudani kijana wangu vipi lakini unaishije kwa sasaEti supu ya sato !! Si useme upo malishoni porini muda huu unschunga ng'ombe...
Usiende kumpiga roba kwa usawa huu najua uko hoi kiuchumiSawa mzee kisha nitakupitisha chochoro pale TMK kwa Wahaya ukapate vitu
Wewe si pedeshee mchunga ng'ombe sasa huyo Da Vinci nitaanzaje kumpiga mzinga wakati humu Jf ameanzisha uzi kuomba ajira ?Anapiga mizinga huyo kuna siku kanivizia mnadani analia njaa oooh mzee niache hata na 10000 nikamwambia twende pori ukachunge mbuzi alilalamika sana mzee mimi hata bata sijawahi chunga nitaweza kweli
Nina mitumbwi ya kuvua samaki na dagaa vipi njoo nikuajiri uwe kuli utawezaWewe si pefedhee mchunga ng'ombe sasa huyo Da Vinci nitaanzaje kumpiga mzinga wakati humu Jf ameanzisha uzi kuomba ajira ?
Hahahahha na ujanja wako ukatishwa na maneno ya mkuluNilikimbia mji
Kwani hukusikia kauli ya mkulu kipindi kile kuhusu ntu atakayeweza kumudu kubaki Dar ?
Kwenye mabaraza ya watu auNaishi vilevile tu mkuu
Mimi najua Huna hata Mia Hebu sema ukweli mtani una hali ganiHuyo bishoo mwenzangu nitawezaje kumkaba mfukoni si nitakuta 100/=
Ontario aliwaokota zamani sasa wewe jichanganye uoneHuu sasa si utakuwa ujinga
Si bora nipige misheni town hapa Dar niingize mkeanja wa kutosha kama Ontario
Hayo matusi sasa hahaaaaaHuyo bishoo mwenzangu nitawezaje kumkaba mfukoni si nitakuta 100/=
Au kama kijana EmmaHuu sasa si utakuwa ujinga
Si bora nipige misheni town hapa Dar niingize mkeanja wa kutosha kama Ontario