Kenya ht kwa pikipiki kwa kutokea huko porini si unafika ? acha dharau wenzio tumefika hadi kwenye sanamu lile la LIBERTY kule kwa Mzee BushHahahahaaa Bitoz umezaliwa kinondoni hujawahi kutoka nje ya darisalaam vitu kama hivyo nilikuwa naviona sana kwa mzee kibaki pale mombasa utaniambia nini wewe kula kulala
Sasa umekula wazuri wangap au unasindikiza? Endleen kula viepe na kujichubua njoon A-town muone game linavyopigwaKweli mkuu...wakazane na kilimo na kulisha mifugo sio kupiga mikelele tu wkt huko kwao midemu michafu.....
Viepe tunavyokula si tunanunua sasa tusiponunua nyie wakulima pesa mtatoa wapi?Sasa umekula wazuri wangap au unasindikiza? Endleen kula viepe na kujichubua njoon A-town muone game linavyopigwa
Acha kuzuga ww kula kuosha mifugo tu huna jipya hata muda wa kupumzika huna bora mi kula kulalaSanamu la LIBERTY si uliliona kwenye runinga hapo mafichoni kwako kwa big mama au ulipata ofa ya kukwea pipa halafu kuniita mimi kula kuosha mifugo hunitendei haki niite kula kusaka pesa sawa?
Acha undezi ww,......Wewe unakaa humo ndani kazi yako kuosha vyombo na kudeki nyumba si umeolewa hutaki kufanya kazi utaniambia nini mimi kula kusaka pesa
Acha mambo ya ajabu wewe ni mariooo tu siku kibarua kikiota nyasi unatupiwa kamfuko kale karambo na viboksa vyako halafu uache dharau nani anaishi kwenye kibanda?
Bwahaaaaa...., kawatoroshe wale uliowaacha kijijini nao waje wafaidi hayo yanayokuzuzua mjini! Najua wakiona maghorofa, barabara za lami na mabasi ya mwendo kasi watagoma kurudi kijijini kama wewe!![/QU
Nahisi utakuwa chinga..
Kwanza nyie wachafu vibanda vyenu vya tope mtawezaje kupiga dekiBitoz nyangema bado unadeki nyumba tu ya big mama karibu kifungua kinywa supu ya sato na ugali wa mtama
Ngoja siku nije kuvichoma hivyo vibanda vyenu vya nyasi ndo utapata akili maana nahisi umepandikizwa ubongo wa ng'ombe ndio maana umekuwa ngumu kuelewaYaani wewe hivyo viota vya bonde la msimbazi ndio nyumba hizo mimi nalala kwenye nyumba wewe unajificha kwa muda mafuriko yakija unasombwa kama kambale