Waporipori wavaa kaniki mmezoea kunywa chai ya hiriki na kun'goa visiki na nguo zenu za pink mnazoanika juu ya masink halafu mnaleta makelele km pikipikiEnyi wanaume wa dar, kumbe ni kweli hamuhamasiki mpaka wanawake wawavalie nguo nusu uchi!!! "PICHA NIMEZIONA" Basi endeleeni tu kunywa pweza
Aaah hapo utakuwa umeimba kwa kubana pua. Hivi kwanini lakini wanaume wa dar mna mambo ya ajabu ajabu?Waporipori wavaa kaniki mmezoea kunywa chai ya hiriki na kun'goa visiki na nguo zenu za pink mnazoanika juu ya masink
Aaah hapo utakuwa umeimba kwa kubana pua. Hivi kwanini lakini wanaume wa dar mna mambo ya ajabu ajabu?
Umewahi kusikia mkuu wa mkoa gani mwingine amekemea ushoga zaidi ya huyo wa kwenu?
Jamani wanaume wa dar, acheni mambo ya ajabu ajabu, mnamkera mheshimiwa wenu kwakweli
Ukiangalia vizuri hiyo picha utaona nyumba nzuri nzuri za dar. Huku mkoani mura ukipiga picha shambani kwenye background utaona mapori tu. Sasa huyo mwanaume wa dar analima kabustani hapo mbezi kabisa halafu unasema ni wa mkoa kweli jamani. Wanaume wa dar acheni mambo ya ajabu jamaniEndeleeni kilimo acheni umbea
Nakuona unazama huko porini ila unajikakamuaUkiangalia vizuri hiyo picha utaona nyumba nzuri nzuri za dar. Huku mkoani mura ukipiga picha shambani kwenye background utaona mapori tu. Sasa huyo mwanaume wa dar analima kabustani hapo mbezi kabisa halafu unasema ni wa mkoa kweli jamani. Wanaume wa dar acheni mambo ya ajabu jamani
Na siku mifugo yao ikifa kwa njaa na mazao kukauka kwa ukame utawaona wanapanda malori kuja Dar kupiga mizinga.....
Makofi tafadhali
Dawa ya hawa waporipori ni kuhamisha Kituo cha mabasi ubungo and kuzuia treni. Kwisha wao.
Mifugo yenu muuziane wenyewe
Tutaweka gate pale Chalinze kupita iwe ni kwa kibali maalumu
Mbaki kwenu kuchunga ng'ombe + kulima viazi & kupalilia mipapai milele
Bwahahaaaaa, watu wa Dar huwa mnakula nyama toka wapi kwani?! Hivi Mwananyamala au Kinondoni wanamifugo?! Jiongeze kidogo tu ktk ufikiri wako...
Nyie kwanza mmracha kuvuta ugoro? Au mnasubiri hadi siku mmezwe na chatu ndo uwe mwisho wenuBitoz mmezuiliwa kupuliza shisha vipi nikuletee tumbaku la urambo tabora?
Duh huyu wa wapi??Nakuona unazama huko porini ila unajikakamua
Hatuna mpango na mifugo yenu michafu inakunyakunya ovyo itatuchafulia jijiBitoz umezaliwa mbagala tembea uone jumamosi naleta mifugo tukutane chalinze geti lenyewe limewashinda nguvu kazi mnamalizia kwenye shisha na kubwia unga mmekuwa nyoka?
Mjini ni mjini tu......endelea kukaa porini kwenu mpaka siku ungatwe na nyoka au kunusurika kumezwa na mamba ndo utapata akili
Hahahaah kumbeKilosa mafurikoni alikuwa akichunga ng'ombe akadumbukia
Mikoani kote ni porini tu ht kuwe na maghorofa........ndio maana mnaweza kujisaidia popote bila kuonekanaKakuambia nani naishi porini?!
Mliokuja mjini nna shida sanaaa.., punguzeni ulimbukeni.